Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Peopleeee wacha watu waseme kwani hata kama wataona hizo picha watawanyofoa kiungo cha mwili? au kuna mtu anaishi kwenye pua ya mtu kusema kuwa ye ni kamasi atapengwa adondoke?? Watu8 natamani kuwawekea watu moyo huu nunda wa kutorudi nyuma. LET IT GO THOUGH IT STILL REJECT .ndo maana nampendaga mzee wangu wa udaku Bishanga uko wapi baba?
 
I don't beleive in hear say . . . .unless say you are one of them!

Well done Kipipi! Maeneo kama haya ndiyo nikupendeapo!
Yaani bila kumung'unya.
Absolutely you're highly IQ intelligent woman!
I'm appreciate your truthness to her !
So far high IQ woman are often very "successfuly" they might be wealthy , or have a fast track- career .
 
Last edited by a moderator:
ndo hapo sasa . Kipipi unajua maneno ambao huyasikii hayaumi.ndo maana huwa nawaambia maneno yao siyo sumu sijipi pressure sijiweki roho juu naendelea kubanjuka tu.
My sexytary nime ku miss sana!!mzima? ?
 
kama kuna mtu aliyekueleza hivyo basi ni MMBEA numero uno....ila uzuri ni kwamba hata mtu ufanye vipi UMBEA hakuna effect yoyote zaidi ya kujifurahisha nafsi tu....mwisho wa siku yote yatapita, kama UPEPO vile...


Kweli ule ni umbea
 
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!

Naona unapenda kusutwa kwa matarumbeta
 
Last edited by a moderator:
nakulove sana mume wangu wa zamani ,nakuombea kwa mungu ubarikiwe hadi kuku wa jirani watage nyumbani kwako na wamama wote mtaani kwako wabebe mimba zako mwaka huu ..heri ya mwaka mpya.nimemiss kweli arachuga

Hiyo blue, amina sana, ila hiyo red sio kabisa! Embu itoe kabisa kwenye maombi yako!
 
Mkuu unadhani treni zote ni kama za Mwakyembe!? We dandia tu kwa mbele kama kifanyio hakijaamia usoni!
Ohoooo!!!mpaka ukachukue shuka? ?? Smile mi natembeaga na shuka so nafikiri nitawahi kabla yake...we andaa tu CD! !!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom