Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Chitchat camp wacheni umbea! Mpumue

Hivi mtu akikusema anakupunguzia nini?! Mie labda mtu anitie kidole cha macho.
Usimind smile, furahi maana mpaka mtu anaacha mambo yake anaanza kukusema ujue wewe muhimu zaidi ya mambo yake.
 
Hivi mtu akikusema uanakupunguzia nini?! Mie labda mtu anitie kidole cha macho.
Usimind smile, furahi maana mpaka mtu anaacha mambo yake anaanza kukusema ujue wewe muhimu zaidi ya mambo yake.
Hiyo imekaa poa
 
Hivi mtu akikusema anakupunguzia nini?! Mie labda mtu anitie kidole cha macho.
Usimind smile, furahi maana mpaka mtu anaacha mambo yake anaanza kukusema ujue wewe muhimu zaidi ya mambo yake.

Mambo zako?
Japo kwa nadra-nadra nakuona-ona tu , then ukipita pahala ni mithili ya Kipanga! Ni shaaa/vuup! Kisha uki'vuup ni ume'vuup, waweza back kesho yake!
Sijakuelewa-elewa vizuri new currently policy yako!
Nway nini mepya? Una matamu ya kuniambia my x ?
 
una iron heart kwelikweli
 
Like.....
 
una iron heart kwelikweli

It's not iron heart as such !
That Lady Husninyo has been maturity already!
She know how to use a calm voice, and give someone resonable argument for justify quarrels.
 
Last edited by a moderator:
kupunguza umbea humu cc naomba Invisible aweke kinotification endapo mtu atakumention huko pm unapata notification kwamba flani na flani have mentioned you in zeiya pm ,ili uwawashie moto
nasikia watu wanasema watu sana huku cc HUKO PM
ila umbea ukizidi humu karibuni sana mmu mje kusmile!

hahahaaa Smile umeua lol ..BTW hili jukwaaa mie huwa silielewi kabisaaaa...
 
Last edited by a moderator:
It's not iron heart as such !
That Lady Husninyo has been maturity already!
She know how to use a calm voice, and give someone resonable argument for justify quarrels.

mamy cfa zote hizi zako au kuna takrima hapa inahalalishwa
 
kuna mmoja kasema humu wanaingia waliokata tamaa ya maisha, source anajijua

kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ....mie simo ngoja ukutwe na imeshatangazwa no umbeaa lolz
 
Mambo zako?
Japo kwa nadra-nadra nakuona-ona tu , then ukipita pahala ni mithili ya Kipanga! Ni shaaa/vuup! Kisha uki'vuup ni ume'vuup, waweza back kesho yake!
Sijakuelewa-elewa vizuri new currently policy yako!
Nway nini mepya? Una matamu ya kuniambia my x ?

we acha tu my x...! Hapa yenyewe navuuup kidogo tu then tuonane kesho. Sina mpya zaidi ya kukumiss, karibu tena jukwaani.
 
Back
Top Bottom