ushapata bwana ama bado ?
baada ya kuachana,maana kuna mtu humu anaitwa Kima Mchanga ananiulizia,nimjibuje?Bwana ???? Kwan nilikwambia natafuta bwana????
nakusubiria kwa hamu zote ila naomba uje after 2wks hivi nataka nikufanyie surprise!
ngoja akuje Mrs Bishanga atusaidie...
Teh Teh!!! Darling huyu Bishanga naona anajipambanua kweli manake na wife wake Mrs Bishanga kaamua kuweka kambi hapa
Anayebisha aseme.