chitchat best forum jf

chitchat best forum jf

marhaba Lucas mambo?

Safi tu uncle, sijui kwako ni vipi? halafu uncle hivi aunt zangu hapa chit chat ni wangapi? maana kuna the secretary, anataka nimpe shikamoo ati yeye ni anti wangu, kuna Mamndenyi huyu mama yangu na yeye anasema ni anti mstaafu, haalfu kuna hawa wapya Zahra White na Mrs Bishanga, sasa uncle mimi nitaita aunt wangapi? by the way, nasikia King muswati ni besti yako, hivi ni kweli??
 
yatakushinda watu8

Mrs bishanga anachimba biti kwa kidhungu tu...Wamatumbi wote wakatawanyika chezeya Kimombo wewe...
Eti kwa nyepesi nyepesi inasemekana ni shushushu wa Obama amekuja kufukunyua habari zako maana wana wasiwasi na mihela uliyonayo isijekuwa unawafadhili magaidi...
 
Safi tu uncle, sijui kwako ni vipi? halafu uncle hivi aunt zangu hapa chit chat ni wangapi? maana kuna the secratary, anataka nimpe shikamoo ati yeye ni anti wangu, kuna Mamndenyi huyu mama yangu na yeye anasema ni anti mstaafu, haalfu kuna hawa wapya Zahra White na Mrs Bishanga, sasa uncle mimi nitaita aunt wangapi? by the way, nasikia King muswati ni besti yako, hivi ni kweli??

nlikua nataka kuuliza ila umewahi Bishanga ee embu njo jibu hapa..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom