Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!..Afu kama kawaida yako mtoto wa geti kali ushafungiwa! Iko siku nakuja hapo kwenu uzunguni kumzingua mshua na maza 'ako. Nway thanx for ndyofu.
:%<>FOLLOW THE RULES:%<> RESPECT OTHER MEMBERS:%<> MNAPEWA NAFASI MNATUMIA VIBAYA:%<> Beware! THIS ZONE IS UNDER WATCHFUL OF MODERATORS!! SO GUYS PLEASE BEHAVE.
Umeisoma thread yenyewe mkuu?
Sijaona hata chembe chembe ya uvunjifu wa sheria za Jf mle!!
Like that Arushaone! Utanidai ndyofu moja
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!
Umeisoma thread yenyewe mkuu?
Sijaona hata chembe chembe ya uvunjifu wa sheria za Jf mle!!
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!
Wajibu nini??Mh!
Mwenyewe nimepitia thread tajwa,sijaona kosa.
Ngoja mods waje kujibu.
........afu nikuumize roho kabisa? Group lote tumekamilika, tuko BOT club sebene!!