CHIT-CHAT YAVAMIWA: Mbona Thread hii Chit-Chat imefungwa?

Woga tupa kulee

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,752
1,311
Kuna thread hapa Chit-Chat yenye title "Majuto ya Sande".
Nimeipitia,lakini binafsi sijaona upungufu wowote.
Mbona mod ameifunga?
Chit-Chat imevamiwa?
 
Na hii itapelekwa kwenye jukwaa la complaints and advice

NB: Ignorance of law is not a defence!
 
:%<>FOLLOW THE RULES:%<> RESPECT OTHER MEMBERS:%<> MNAPEWA NAFASI MNATUMIA VIBAYA:%<> Beware! THIS ZONE IS UNDER WATCHFUL OF MODERATORS!! SO GUYS PLEASE BEHAVE.
 
..Afu kama kawaida yako mtoto wa geti kali ushafungiwa! Iko siku nakuja hapo kwenu uzunguni kumzingua mshua na maza 'ako. Nway thanx for ndyofu.
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!
 
:%<>FOLLOW THE RULES:%<> RESPECT OTHER MEMBERS:%<> MNAPEWA NAFASI MNATUMIA VIBAYA:%<> Beware! THIS ZONE IS UNDER WATCHFUL OF MODERATORS!! SO GUYS PLEASE BEHAVE.

Umeisoma thread yenyewe mkuu?
Sijaona hata chembe chembe ya uvunjifu wa sheria za Jf mle!!
 
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!

Hivi mnatamkatamka ndyofu kirahisi hivyo,now mzuka umepanda, Arushaone lete ndyofu nane,hutaki na reveal ile barua yako ya apology kwa Mamndenyi, na wewe sweetlady lete angalau ka kreti kabla sijamwamsha babujinga nitonye
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha... Ungekuja jana kuniombea ruhusa lol.... Ila usijali nimejifunza kuruka geti so siku za usoni utaniona mpaka unichoke!

........afu nikuumize roho kabisa? Group lote tumekamilika, tuko BOT club sebene!!
 
Arushaone Mbona hata haupokei simu? Ama ndiyo tuseme ndiyo mambo yameshakuwa hivyo ni kulirudi SEBENE kwa mtindo mmoja?

........afu nikuumize roho kabisa? Group lote tumekamilika, tuko BOT club sebene!!

Nitolee taarifa tu kwa Mkuu PakaJimmy kwani nimekita mahala nikashindwa hata kung'tuka!

Nawapa hai wadau!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana Man utd oh sore.. typing eror mkuu LiverpoolFC du kuna kelele sana ndo maana naandika mwandiko wa kukatikakatika shh ngoja nimemwona mdada kama Ciello ngoja nikamchek... ksiii ksiii mbona hageuki pamoja na psii na ksii za kutosha wait
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom