Na kenge wamo tena wamepaka shedo.tutakutana mbinu saa hiyo mi nachochea moto nikikuona naongeza kuni.
nitakuombea Erickb52 Mungu akufanye uondokane na hiyo kiu ya kilevi kwani sipendi kaka yangu uwe hivyo najisikia vibaya sana ukizingatia wewe ndo tunaokutegemea sana katika familia yetu jamani anza kuacha taratibu basi
hahah pesa ulimbo wa wanaume... kuwapata wadada sasa wewe tayari unazo tutakupataje? Karibu kwenye Whitepattypesa pesaaaa sabuni ya roho pesa....halahala best si unaikumbuka story ya Yuda
Question Tag
whot'nt you?
Ha ha ha ha haaaa Bujibuji makavu live, lol. Nimecheka sana kwa kweli.
Nimecheka kwa utukufu wa Mungu. GLORY TO GOD.
mkuu kuna watu humu ukifuatilia post zao kama una mbavu za kichina utajuta
Umeona ee, ngoja shughuli ya praise and worship ianze tutacheka humuu.