CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,997 Jan 13, 2013 #21 Kiranja Mkuu said: Mi naimba double bass Click to expand... Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k??????
Kiranja Mkuu said: Mi naimba double bass Click to expand... Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k??????
Rich Woman JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 867 Reaction score 558 Jan 13, 2013 #22 watu8 said: namkumbuka....mkinipa uhazini nitanunua vifaa vya digitali. Click to expand... mi naomba nikusindikize niwe mtunza hazina msaidizi..vifaa vyenyewe nasikia mpaka tukwee pipa
watu8 said: namkumbuka....mkinipa uhazini nitanunua vifaa vya digitali. Click to expand... mi naomba nikusindikize niwe mtunza hazina msaidizi..vifaa vyenyewe nasikia mpaka tukwee pipa
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jan 13, 2013 #23 Bujibuji said: Sio kolabo, fyucharingi Click to expand... kwa hiyo safu ya uongozi imekaaje?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,364 Reaction score 108,510 Jan 13, 2013 #24 Rich woman said: mi naomba nikusindikize niwe mtunza hazina msaidizi..vifaa vyenyewe nasikia mpaka tukwee pipa Click to expand... ooh karibu mpendwa katika Bwana...wala usijali tutaenda wote kununua vifaa vyote, ngoja tu kila mtu achukue pozisheni yake.
Rich woman said: mi naomba nikusindikize niwe mtunza hazina msaidizi..vifaa vyenyewe nasikia mpaka tukwee pipa Click to expand... ooh karibu mpendwa katika Bwana...wala usijali tutaenda wote kununua vifaa vyote, ngoja tu kila mtu achukue pozisheni yake.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Jan 13, 2013 #25 Bujibuji na mimi nimo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,364 Reaction score 108,510 Jan 13, 2013 #26 Erickb52 said: Bujibuji na mimi nimo. Click to expand... we kazi yako itakua ni kufua sare za Wanakwaya!!
Erickb52 said: Bujibuji na mimi nimo. Click to expand... we kazi yako itakua ni kufua sare za Wanakwaya!!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Jan 13, 2013 #27 Rich woman said: pesa pesaaaa sabuni ya roho pesa....halahala best si unaikumbuka story ya Yuda Click to expand... Rich woman wewe hutaki kuimba? Bujibuji anasema bado kuna nafasi! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Rich woman said: pesa pesaaaa sabuni ya roho pesa....halahala best si unaikumbuka story ya Yuda Click to expand... Rich woman wewe hutaki kuimba? Bujibuji anasema bado kuna nafasi!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Jan 13, 2013 #28 Erickb52 said: Bujibuji na mimi nimo. Click to expand... Hivi na wewe unajua kuimba?
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,079 Jan 13, 2013 #29 Nafasi ya mpiga kayamba inihusu..
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,079 Jan 13, 2013 #30 watu8 said: we kazi yako itakua ni kufua sare za Wanakwaya!! Click to expand... Well said..
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,907 Reaction score 28,079 Jan 13, 2013 #31 Mwanyasi said: Hivi na wewe unajua kuimba? Click to expand... Ujaona jibu la watu8....? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Woga tupa kulee JF-Expert Member Joined Sep 4, 2012 Posts 1,749 Reaction score 1,311 Jan 13, 2013 #32 Bujibuji umemsahau Marry Hunbig (mama stevoh) Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 13, 2013 #33 Bujibuji said: Coming soon, chini ya uongozi wa Zion Daughter, cacico na giLESi Click to expand... Zion Daughter, now your heart is full of joy in a cradle in the manger, lies the holy boy! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bujibuji said: Coming soon, chini ya uongozi wa Zion Daughter, cacico na giLESi Click to expand... Zion Daughter, now your heart is full of joy in a cradle in the manger, lies the holy boy!
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 13, 2013 #34 Filipo said: Naona Baba V hayupo, watu mnajiamulia tu mambo. Kuna kamati ya maombi inayoshughulikia maswala yote ya swala na sala, maombi na maombezi! Wasiliana na pombekali Click to expand... Hivi Baba V amepelekwa keko mpaka lini? Dr.zero inabidi aje hapa atueleze rafiki yake anatoka lini manake watu washaanza kumrithi mpaka Mama v Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Filipo said: Naona Baba V hayupo, watu mnajiamulia tu mambo. Kuna kamati ya maombi inayoshughulikia maswala yote ya swala na sala, maombi na maombezi! Wasiliana na pombekali Click to expand... Hivi Baba V amepelekwa keko mpaka lini? Dr.zero inabidi aje hapa atueleze rafiki yake anatoka lini manake watu washaanza kumrithi mpaka Mama v
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Jan 13, 2013 #35 Dark City said: Sasa hilo kanisa litakuwa linahubiri nini jamani kama waumini wenyewe ndiyo hao?? Mie naomba mnipe nafasi nitawaeleza mipango yangu ya ukombozi wa hawa wajukuu zangu kwa mwaka 2013!! Babu DC!! Click to expand... tena babu usije ukashangaa maajabu ya hii kanisa......................... mi ntakuwa mlangoni nauza kinga hapo
Dark City said: Sasa hilo kanisa litakuwa linahubiri nini jamani kama waumini wenyewe ndiyo hao?? Mie naomba mnipe nafasi nitawaeleza mipango yangu ya ukombozi wa hawa wajukuu zangu kwa mwaka 2013!! Babu DC!! Click to expand... tena babu usije ukashangaa maajabu ya hii kanisa......................... mi ntakuwa mlangoni nauza kinga hapo
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jan 13, 2013 #36 Naomba nipangiwe kwenye kwaya sauti ya 4.2 tafadhali. Nani ana dili la yunifomu?
Yegoo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2012 Posts 1,434 Reaction score 510 Jan 13, 2013 #37 Hili cio kanisa!kama waumini ndo hawa wanaojitapa kwa mbwebwe ivi!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jan 13, 2013 #38 Mpiga ngoma niko hapa. charminglady said: Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k?????? Click to expand...
Mpiga ngoma niko hapa. charminglady said: Kwaya inakaribia kukanilika... Wapi mwalimu wa kwaya, mpiga kinanda, gitaa, visahani, ngoma, marimba, filimbi n.k?????? Click to expand...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Jan 13, 2013 #39 Judge not lest thou hast judged thine self 1king'asti 2:3 Yegoo said: Hili cio kanisa!kama waumini ndo hawa wanaojitapa kwa mbwebwe ivi! Click to expand...
Judge not lest thou hast judged thine self 1king'asti 2:3 Yegoo said: Hili cio kanisa!kama waumini ndo hawa wanaojitapa kwa mbwebwe ivi! Click to expand...
KARIA JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 717 Reaction score 473 Jan 13, 2013 #40 Nimependa kuwa mmoja wa waumini watakatifu. Nipangieni nafasi nyie wenyewe!