Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Hako kametumwa na mkubwa wake ndo maana kanadadisi sana!
Hako kametumwa na mkubwa wake ndo maana kanadadisi sana!
Heheheee kametumwa ila kanaambulia patupu lol
Vip hitaki muhimu tayari au bado unangoka ngoja kwanza?
Karibu kaugali na kambusi
Kwanza kakikutumia PM report post kale ban
Kwanza kakikutumia PM report post kale ban
Mie na kipipi tena, acha izo mkuu.. Kipipi njoo uku PM tumalizie
Heheheee kametumwa ila kanaambulia patupu lol
Vip hitaki muhimu tayari au bado unangoka ngoja kwanza?
Karibu kaugali na kambusi
heheheeee
Heheheeee hujipendi wewe eeeh utaondoka na thread yako sasa hivi we endelea.
Kipi kikuchekeshacho?heheheeee
Wewe uliyenatananae juzi pale pale wapi vile, ni mkeo au hawala
Heri ya krismasi baba mpendwa!