Chit - Chat member mpo wapi

Chit - Chat member mpo wapi

Unawapaga manini mkuu hadi wanachanganyikiwa
Dah mambo waaaaa Kipipi
Eti haka kajamaa kananambia kanataka kuja kunipa dhamana nkamwambia wewe upo tayari kuuza hata ile hotel yako kule Kigamboni anabisha
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 pale police central ya kati ulitoka muda gani maana yule askari alikung'ang'ania kinoma eti bila laki hakuachii wakati mfukoni ulikuwa na nauli ya daladala tuu
 
Last edited by a moderator:
Mie pia najiuliza kulikoni? Mbona hatukutani hata kwenye kibaraza..... Ahsante dia, ndo twaimalizia hivyo!

Heheh mi naanza kuacha ubize naomba nawe uniige! lol

Kweli kaNOELI ndo kanaishia hivyo, unaenda kukamalizia wapi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom