watu na vipaji vyetu bana, nnekamata kakuku ka kienyeji hapa maeneo ya mama john na baridi ya mbeya hii raha kwelikweli,ni kufyongonyolana kwa kuruka vihunzi
Nitajua askali polisi wamekunasa, umefikishwa kituoni ili ulipe lile deni la tax drive
kweli aisee, viroba na pilau sio mchezo
kweli aisee, viroba na pilau sio mchezo
mi nilikesha kanisani mkuu...
Copy kwa charminglady na Elizabeth Dominic
Heheheee umeambiwa Masai kuna kitimoto?Silagu pilau wakuu, mwendo kitimoto kwenda mbele
Hahahaaa
Aombe asirudishe chenji maana yatakayomwagika hapo ni balaaa
Lol
Hahahaha, kumbe haviendani eeh? Ni sawa sawa mtu ale ugali dagaa afu anywe ndyofu.kweli aisee, viroba na pilau sio mchezo
Heheheee umeambiwa Masai kuna kitimoto?
Hahahaaa
Aombe asirudishe chenji maana yatakayomwagika hapo ni balaaa
Lol
Hahahaha, kumbe haviendani eeh? Ni sawa sawa mtu ale ugali dagaa afu anywe ndyofu.
na akirudisha chenji lazima zitoke coins tu,hakuna noti hata ya miatano. Chezea sikukuu na ukata wewe
We acha mkuu unapanga utulie nyumban lakin miguu haitak ila wengi tupoNasikia, kuna watu wamepata ajali, wengine wamenatana, wengine wapo cjui wapi tu yani yani yani daaaa
Hahahaha, kumbe haviendani eeh? Ni sawa sawa mtu ale ugali dagaa afu anywe ndyofu.