Kasema nani?
Ila yasiwe mavu....mavu....mbi ya kokoto
Hahahahaha! Na wewe nyoa umfungie mtu lol.
Hapo chacha! Mwambie apite mbali manake atakuchafua lol.
Hayo sina nimeyatoa zamani mwaka jana
Kasema b52
Heheheeee kiparangoto
Sina imani na b52, kwasababu hajalipa madeni na mda wowote anawekwa ndani
Hapo chacha! Mwambie apite mbali manake atakuchafua lol.
Moshi-Arusha aise
Kuchafua nini tena
anazo za kunyoa basi....!
Taratibuuu watoto wasije amka
Alikuwa ananiita eti niende Masai Camp nikale kitimoto nkawambia mbona kule hakinaga kitimoto?
Kumbe alikuwa amataka msaidie kuclear bill
Ok ngoja niendelee kunatana unanipotezea stim meeen
anazo za kunyoa basi....!
ngumi unaziweza?