subiri ukaguliwe na charminglady
don tell me nimzee kiasi hicho
dadaa nimemuona yupo kule tundu sita
Mwambie aje fastaaaaa huku!!!
kila siku wapya wanakuja na swaga zao dah! ila old is gold hongereni waanzilishi
Mi mwenyewe nilikuwaga siasani kulee pindi nilipojiunga....Nilipopata ban ya mwezi baada ya kurudi nikiwa bado nina wenge la ban mara nkadondokea CC nikawa naliwazika huku.....Long live cc...
aaaah! Bad news! Mamndenyi njoo unishike naweza kuanguka na kupoteza fahamu oooh! Vin Diesel mie kweli wakunifanyia hivyo kweli?tena napiga picha huko waliko nazidi kuumia