OGTV JF-Expert Member May 22, 2016 353 167 Jun 13, 2016 #1 Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo ametoa ufafanuzi wa habari zilizotapakaa kuwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumba na kutoa yake ya moyoni
Kiongozi wa chama cha ACT wazalendo ametoa ufafanuzi wa habari zilizotapakaa kuwa anasakwa na polisi kwa udi na uvumba na kutoa yake ya moyoni
Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,912 13,230 Jun 13, 2016 #2 Ndio hamuogopi na mimi simuogopi
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,479 Jun 13, 2016 #3 Magufuli jukwaani tu. Nje ya hapo.....
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Jun 13, 2016 #4 Kwani nani anamuogopa. Hii dhana ya kuogopana haipendezi kwa nchi yenye dhamira ya kujenga demokrasia.
Kwani nani anamuogopa. Hii dhana ya kuogopana haipendezi kwa nchi yenye dhamira ya kujenga demokrasia.