Thanx mwenyekiti, sasa naomba fomu za kugombea uongozi.
Usaliti = More members to C.C.B
ok... Mwenyekiti yuko, katibu, katibu mwenezi wa chama... Chagua nafasi aise
hicho chama kinafaa..nitagombea kuwa msemaji wa chama.
Jibu swali hilo mpenzi Madame B
Nakupenda sana mama lakini nimechoka kupangwa foleni
Katibu mkuu, natamani kuwa mtendaji mkuu wa chama.
Karibu karibu sana kwenye chama.. Vin Diesel nakutakia kila la kheri katika opperatio lara 1 ufanikiwe, kwaiyo nani unamuachia Mamndenyi na Paloma ?