JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
- Thread starter
-
- #421
oky nashukuru kwa kupata namba niipendayo ila sasa fomu nitapataje na wapi tuje tujiandikishe na hiyo michango ya chama utanipa lini au wapi nikupate ili niipate hiyo michango? Donn
Dah hii imenikumbisha enzi za ISC
Copy: Bigirita, Asprin, RR, Teamo, TIMING, Kaizer, Smile, FirstLady1, Pearl, Nyamayao, MwanajamiiOne, ziondoughter, afrodenzi, The Finest carmel
mhm! makubwa kuja home tena? sio ofisini jamani basi hiyo sio kitu chema Donn maana inanishangaza hivi hujui kuwa mie ni mke wa mtu wewe? hebu rekebisha lile neno la mwisho kidogo.
mi ofisi yangu ipo pale home... Inaendesha kampuni nzima ya IloveTZ.Com wala usihofu mke wa mtu... Mimi mutu safi bana
Wewe ni mtu ? mh! Jana usiku ulikua na akina nani
mimi....!!!! Nilikuwa mwenyeeeweee....!!! Na yale majani makavu tuu
Na mimi pia nahitaji kuwa member!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hamjambo mabachela na mabachelote
Mi naomba nafasi ya mtunza fedha tafadhali!
duh... Sasa hapo itabidi ushirikiane na ladyfurahia ok ®C.C.B/524
poa haina shida we mwambie nafasi yake ajijue mapemaaa
Tena kwa hilo jina lako... Ngoja nikupe nafasi hapo... Reg ®C.C.B/544 Vipi nifundishe majukumu now
Nilikusaidia kazi mchana
pamoja sanaRegistered ®C.C.B/656 karibu mkuu
Donn
mfikishie pia
Jiwe Linaloishi ila muambie paka kapitia kitowoe chake.
Vin Diesel mkaribishe kwenye chama awe mpokeaji wa C.C.B tunao jiandaa kuingia kwenye ndoa.