Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

Chionda: Giniazi la historia anayeamini dini ni utapeli

mkuu unajuaje kuwa anapotosha watu?
Wewe una uhakika gani kuwa hutopot
Hayo maswali machache alioulizwa nilioyajibu unaweza yagoogle na wewe ukafananisha historia na chionda anayosema
 
Wewe muislamu na mkeo ni mkristo,
Wewe ume mfundisha uislamu na yeye kakufundisha ukristo,

Nilipomaliza kusoma sehemu hii nikaona wewe huna elimu yoyote,

Kwanza huoni hata haya kuongea maneno haya mbele ya hadhara?
Haya ya nini? Kufundishwa kuhusu historia ya dini mbalimbali na mke wangu?
 
Mimi bado sijapata conclusion kwamba Dunia ni flat ama duara, bado naona kuna hoja hazijibiki kwa flat earther's na kuna hoja hazijibiki kwa dunia tufe
Kwenye dhana ya dunia duara ni hoja gani kwako haijibiki?
 
Kwenye dhana ya dunia duara ni hoja gani kwako haijibiki?
Suala la eli kupotea baharini sio kwa sababu ya dunia duara bali ni sababu ya Uoni wa macho.

Camera ziliweza kuthibitisha hivyo.

Je hoja hii kwako unaionaje mkuu?
 
Back
Top Bottom