CHINUA ACHEBE arudi tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHINUA ACHEBE arudi tena

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mcheza Karate, Sep 28, 2012.

 1. Mcheza Karate

  Mcheza Karate JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 691
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mwandishi nguli wa vitabu mnigeria CHINUA ACHEBE arejea tena.

  Achebe amezindua kitabu chake kipya alichokipa jina la "THERE WAS A COUNTRY" ambacho kimeelezea vita vya biafra kule Nigeria huku yeye akiwa kiongozi wa kimila kwa wakati huo.

  Achebe ambaye ni mtunzi wa kitabu maarufu cha THINGS FALL APART ambacho kimetafisiriwa kwa lugha zaidi ya 50 na akauza nakala zaidi ya milioni 10.

  Tangu atoe things fall apart mwaka 1958 hajatoa kitabu kingine akiwa private writer zaidi ya kile cha encountance from Africa alichoshirikiana na akina ABRAHAM na wenzake.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwamba tangu atoe THINGS FALL APART hajatoa kitabu kingine akiwa peke yake?? is it true?? what about NO LONGER AT EASE,ARROW OF GOD,A MAN OF THE PEOPLE, ANTHILLS OF SAVANNAH e.t.c!?
   
 3. J

  JPM605 Senior Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Great ponds n Wheat of grain?
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Nimemskia na Ngugi wa Thiongo nae alitoa kitabu kiitwacho " Dreaming in time of War" kimekaaa vizuri sana kama kile cha A Grain of Wheat na The River Between
   
 5. Shamukware

  Shamukware Member

  #5
  Apr 14, 2015
  Joined: Feb 27, 2015
  Messages: 94
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 25
  also he wrote CHIKE AND THE RIVER
   
 6. sungusungu

  sungusungu JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2015
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 2,845
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  Haswaaaaa!
   
 7. r

  rolla JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2015
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,235
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  mmmmmmh "wheat of grain?" hiki kilitoka lini? mchapishaji wake nani?
   
 8. s

  strong woman Senior Member

  #8
  Apr 15, 2015
  Joined: Jul 11, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tafuta ukisome
   
Loading...