asante sana kwa ujumbe huuIlikuwa na sababu, sababu hiyo haipo tena hivyo lazima ipotee. Historia inaonyesha wamakonde walikuwa wanajichanja na kuweka ndonya ili wawe wabaya (ugly) maana wazungu walipenda watumwa wanaovutia hivyo hiyo ilikuwa mbinu yao kujiokoa.
picha hii imepigwa jana wakati wa ziara ya waziri mkuu jimboni kwakeIlikuwa na sababu, sababu hiyo haipo tena hivyo lazima ipotee. Historia inaonyesha wamakonde walikuwa wanajichanja na kuweka ndonya ili wawe wabaya (ugly) maana wazungu walipenda watumwa wanaovutia hivyo hiyo ilikuwa mbinu yao kujiokoa.
Ilikuwa na sababu, sababu hiyo haipo tena hivyo lazima ipotee. Historia inaonyesha wamakonde walikuwa wanajichanja na kuweka ndonya ili wawe wabaya (ugly) maana wazungu walipenda watumwa wanaovutia hivyo hiyo ilikuwa mbinu yao kujiokoa.
Serikali ijitolee kuwatunza waliyobaki na mila hizi!! (wapo wa kuhesabiwa tu)ni muhimu kuenz historia
Nadhani itakuwa ngumu kwa sasa kujaribu kutunza huu utamaduni maana utandawazi umetuvamia kwa kasi Na vijana waliopo hawataki kuwa kama wazazi wao.nini kifanyike