St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Sukuma wiki ni mboga nyingine kabisa mkuu, watu wa Nairoberry watanisupport kwa hili
Chinese kwa kiswahili zinaitwa NSWALU
Basi zitakuwa zinaitwa NSANSA
mkuu sukuma wiki nii hii hapa
Sasa kwani hao watu nao unawahesabu katika watu wanaojua kiswahili,ungeniambia watu wa Mombasa au wa Tanga labda ningekuelewa...
Ukimaanisha hii,sasa hii na aliyoitaja charminglady si jamii moja,tofauti ni uchanuaji wa majani tu...
Niliuliza swali, naona hakunijibu...ila nishampatia jibu pia naona hajaliona...
Kaka na mimi nimeuliza hilo tunda hapo juu linaitwaje kwa koongereza..??Au hata kwa kiswahili hulifahamu..??
wapi wataalamu wa KILIMO??????
Hahah mie mbona si mkulima, ila ninaijua kutokea jina la Kichina as I used to buy hii mboga wakati huo nikiwa huko Peking, so from there ikawa rahisi kupata tafsiri ya Kiswahili...
Kichina huitwa "jie cai"
Kimombo huitwa "mustard"
kwa hivyo ndo yaitwa haradali sio???
mamboz....
hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
kwa hivyo ndo yaitwa haradali sio???
wapi wataalamu wa KILIMO??????
Yap semegi langu! Hamasisha! Wataalamu waje bwanah!
Afu watufundishe na namna ya "kuchuma mboga" kwani shem we baadakua unaijua chainizi na kuichuma wajua? Eeh shem tusaidie na mamember wengine .