chinese!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
mamboz....
hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
 
Boss unataka umpikie shem nini?
Alaf hizo ni nzuri sana kwako.
Zina ongeza naniii!
mamboz....
hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
 
mhmh chekaje mie my ex mke mwenza!!!!
ex....hii inekua ngumu sana kumesa mana lol! nimewaza hapa utazani mtihani kha! hakuna jibu ila nipe dk 10 nakujibu sasa ivi..:smile:
 
Ngoja nimuulize yfu Mamzalendo akiniambia nitakuja kuwaambia kwa kuwa hayo makitu mie siyajui kabisa.
 
Last edited by a moderator:
TAARIFA KWA MTOA MADA
Hivi hapa unachotaka tuchangie jina la mboga ?
Au tujadili UCHUMAJI MBOGA? Maanake kama ni Chuma mboga tu tubadili miondoko ya uchangiaji! Fafanuo plizz .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…