China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

Kupigana kwa ajiri ya meli not worth it for china, atalalamika tuu na kama kuna meli ya America karibu na China coast ataichukua kama alivyowakama ta US foreign officers baada ya mtoto wa Huawei kuzuiwa Canada, China hana interest kugombana na US anajua ni nchi inayojifia bora kuiacha iendelee kujipiga kitanzi
 
China hawezi kufanya maujinga ya vita. Anajua nini maana ya vita. Upende usipende lazima uchumi wako ushuke na hasara za kutosha. Hapo anapiga tu kelele
 
Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.

Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."
"Sema amina"
 
Attachments

  • 20260421_185258.jpg
    20260421_185258.jpg
    112.1 KB · Views: 14
Wanaukumbi.

"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.

Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au kurudi China, hakutachukuliwa kwa nia njema na serikali ya China na watu.

Vitendo kama hivyo vitachukuliwa kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa China, biashara yake, na maslahi yake ya msingi.

Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.

Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."

- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
=======================

"China has taken note of the illegal interception by the United States of a civilian cargo ship traveling from China to Iran.

Allow us to be absolutely clear: The United States can do many things on the world stage. But attacking, detaining, or harassing ships traveling from China, or returning to China, will not be taken in good faith by the Chinese government and people.

Such actions will be regarded as a direct attack on China's sovereignty, its trade, and its core interests.

This is the final warning to the United States. Do not miscalculate. Do not play with fire. China will take all necessary measures to safeguard its legitimate rights and interests.

The United States will bear full responsibility for any consequences arising from further provocations."

- Spokesperson of China's Ministry of Foreign Affairs

China manafiki wa Dunia kabanwa kwenye kooo. Alikuwa anajifanya anapeleka misaada ya kibinadamu kumbe ndio anawauzia silaha Iran Sasa hivi wanaume wameenda kuzuia kivuko Cha Hormuz
 
Kupigana kwa ajiri ya meli not worth it for china, atalalamika tuu na kama kuna meli ya America karibu na China coast ataichukua kama alivyowakama ta US foreign officers baada ya mtoto wa Huawei kuzuiwa Canada, China hana interest kugombana na US anajua ni nchi inayojifia bora kuiacha iendelee kujipiga kitanzi
Kabla hujazaliwa wewe USA ilitabiriwa kujifia. Ila mpaka leo ni super power China ananufaika na uwepo wa USA kuanzia biashara na kuigilizia tech.

So China anaombea USA aendelee kuwepo pale juu
 
Acha uongo wa KIFALA WEWE.
China hainufaiki na uwepo wa USA.
Ukizungumzia kuhusu tech China ni miongoni mwa mataifa top 5 duniani walioongoza kwa gunduzi na sasa ni nchi inayoongoza kwa innovations. China imeanza kuinuka 1992 kwa kufanya mass industrialization zenye government subsidiary. Kama China angekua ananufaika na USA basi asingekua anavutana naye kibiashara na kumlipizia tarrifs anazomuongezea. Nadhani umesahau 2018 trade war jinsi China alivyomlipiza USA na kumfanya a slow down kwenye economic growth. Wacheni kudanganya watu,fanyeni tafiti kabla hamjaropoka uongo.
 
China hawezi kuthubutu chief

Taiwan ina maslahi zaidi kwake kuliko hata hiyo meli, kafanya nini sasa dhidi ya mkwara wa USA

Yaani mpaka leo hana kauli THABITI juu ya Taiwan afanye kipi aache kipi
China hajapanga kuichukua Taiwan kinguvu,China anatumia strategy zile zile alizotumia kuirudisha Hong Kong na Macau.
Ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kupigana. Vietnam alipeleka jeshi na akapigana kui oppose USA sembuse ashindwe sasa!??
Embu kafuatilie USA alivyofukuzwa pale South China sea alipotaka kurejesha visiwa vya Ufilipino vilivyotekwa na China.
 
China na Urusi ni mbwa waoga, wanabweka wakiwa mbali, wakisogelewa wanakimbia na kufyata mikia. Wamemwachia mshikaji wao Irani apambane pake yake! 😁
Urusi bado anahangaika na Ukraine huwezi ukamuita muoga.
China vita hajazipa kipaumbele kwasasa,ila amini siku US akavuka mipaka kama alivyovuka kule South China sea basi atawashiwa moto kama wa South China sea miaka minne iliyopita na akakimbia. China ni cold poison.
 
China hajapanga kuichukua Taiwan kinguvu,China anatumia strategy zile zile alizotumia kuirudisha Hong Kong na Macau.
Ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kupigana. Vietnam alipeleka jeshi na akapigana kui oppose USA sembuse ashindwe sasa!??
Embu kafuatilie USA alivyofukuzwa pale South China sea alipotaka kurejesha visiwa vya Ufilipino vilivyotekwa na China.
Kobazi Khaibar the analyst katika ubora wake, wape shule wataelewa tuu😂
 
Wanaukumbi.

"China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani.

Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au kurudi China, hakutachukuliwa kwa nia njema na serikali ya China na watu.

Vitendo kama hivyo vitachukuliwa kama shambulio la moja kwa moja dhidi ya uhuru wa China, biashara yake, na maslahi yake ya msingi.

Hili ni onyo la mwisho kwa Marekani. Msihesabu vibaya. Msicheze na moto. China itachukua hatua zote muhimu kulinda haki na maslahi yake halali.

Marekani itabeba jukumu kamili kwa matokeo yoyote yanayotokana na uchochezi zaidi."

- Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China
=======================

"China has taken note of the illegal interception by the United States of a civilian cargo ship traveling from China to Iran.

Allow us to be absolutely clear: The United States can do many things on the world stage. But attacking, detaining, or harassing ships traveling from China, or returning to China, will not be taken in good faith by the Chinese government and people.

Such actions will be regarded as a direct attack on China's sovereignty, its trade, and its core interests.

This is the final warning to the United States. Do not miscalculate. Do not play with fire. China will take all necessary measures to safeguard its legitimate rights and interests.

The United States will bear full responsibility for any consequences arising from further provocations."

- Spokesperson of China's Ministry of Foreign Affairs

China hana lolote hawezi kushindana na marekani katika harakati za utawala. Kwanza siasa zao ni ngumu sana zinaifanya tumie nguvu kubwa kuwatawala watu wao kuliko marekani au nchi za ulaya zinavyofanya. Kwa siasa wanazoendesha China hawatakuja kuwa taifa kubwa duniani aslani.
 
Ni kwa mawazo yako finyu,kisiasa China amepiga hatua na ndie global super power kwasasa.
Na wala hatumii nguvu kutawala watu wake wala usitudanganye hapa. Ni watu wa China wenyewe wamempigia kura ya turufu atawale hadi kufa kwake Jin Ping.
-China ndio inaongoza kwa utoaji mikopo duniani kuliko hata WB na IMF.
-China ndio inayoongoza kwa uundaji wa bidhaa za kiwandani.
-China ndio nchi inayoongoza kwa ujenzi wa miundombinu kwa mataifa ya nje duniani.

Ndio maana Europe mathalan Italy,UK,France,Belgium n.k walipoambiwa na US waweke vikwazo biashara kadhaa za China WALIKATAA na WAKATEMBELEA CHINA kuunga uhusiano zaidi.
Someni na fuatilieni WACHENI KUDANGANYA WATU.
 
Nancy Pelosi Alikwenda Taiwan Wakasema Watamlipua Akatoka Safi
Kutishiana kupo. Hata USA alipopewa taarifa China amepora visiwa vya Ufilipino South China sea alipeleka navy fleet kubwa kuliko aliyopeleka Iran akiapa kuiangamiza China ila alirudishwa nyuma pasi na kurusha hata jiwe.
 
Muziraili yuko pale watapigwa mpaka wachakae na uchina wake,Marekani ye anawapa vyombo tu.
 
Back
Top Bottom