Narudia tena zama hizo umetumia mfano wa urusi na ujerumani pia japan , hali ilikuwa tofauti , sasa rudi hapa uzungumzie nchi ulizitumia kama mf na sio kurukia kwa USA ( land of all)Kitendo cha kuitaja Tiktok kwenye vita kinaonyesha uwezo wako ulivyo, sitasema ukoje. Kwanza umeandika vitu irrelevant, kwamba zama hizo watu walikuwa na ukanda?
Marekani ina mchanganyiko wa weusi, Wahindu, Waarabu, Wachina, Wajapani, Wakorea, Wayahudi, wazungu na kila kona ya dunia na ndio inapigana vita kuliko nchi zote duniani. Tena inapigana bila kuvamiwa yani inajiingiza yenyewe. WW2 Marekani ilianzisha kambi za kuwaweka Wamarekani wenye asili ya Japan wakati Marekani iko vitani na nchi yao.
Ila mtu anayeleta habari za Tiktok kwenye vita hawezi jua haya mambo