China yasema ipo tayari kuharibu uhuru wa Taiwan kwa njia yoyote

Kitendo cha kuitaja Tiktok kwenye vita kinaonyesha uwezo wako ulivyo, sitasema ukoje. Kwanza umeandika vitu irrelevant, kwamba zama hizo watu walikuwa na ukanda?
Marekani ina mchanganyiko wa weusi, Wahindu, Waarabu, Wachina, Wajapani, Wakorea, Wayahudi, wazungu na kila kona ya dunia na ndio inapigana vita kuliko nchi zote duniani. Tena inapigana bila kuvamiwa yani inajiingiza yenyewe. WW2 Marekani ilianzisha kambi za kuwaweka Wamarekani wenye asili ya Japan wakati Marekani iko vitani na nchi yao.
Ila mtu anayeleta habari za Tiktok kwenye vita hawezi jua haya mambo
Narudia tena zama hizo umetumia mfano wa urusi na ujerumani pia japan , hali ilikuwa tofauti , sasa rudi hapa uzungumzie nchi ulizitumia kama mf na sio kurukia kwa USA ( land of all)
 
Bdo upo 18c wenzio hawawaz kushinda vita bali kushinda vita yavkiuchumi kupitia vita
Haya yanasemwa na kijana mtumiaji wa app ya wakata viuno (Tiktok) anayeihusisha kwenye masuala ya vita. Ulipoanza kutaja Tiktok ndio nikajua hapa hamna kitu.
Yani kwenye mazingira ya artillery, tanks, battalion tactical groups, OSINT, C&C, EW, combined arms, suicide drones, mobile protected firepower, fighter jets, AD na mengine mengi sana umeamua utaje Tiktok?

Kwanza sikujibu tena napoteza muda
 
Kitendo cha kuitaja Tiktok kwenye vita kinaonyesha uwezo wako ulivyo, sitasema ukoje. Kwanza umeandika vitu irrelevant, kwamba zama hizo watu walikuwa na ukanda?
Marekani ina mchanganyiko wa weusi, Wahindu, Waarabu, Wachina, Wajapani, Wakorea, Wayahudi, wazungu na kila kona ya dunia na ndio inapigana vita kuliko nchi zote duniani. Tena inapigana bila kuvamiwa yani inajiingiza yenyewe. WW2 Marekani ilianzisha kambi za kuwaweka Wamarekani wenye asili ya Japan wakati Marekani iko vitani na nchi yao.
Ila mtu anayeleta habari za Tiktok kwenye vita hawezi jua haya mambo
Unapojib kumbuka na ulichoandika , nenda kasome reply yako uone wap uliitaja USA though hata kwa USA zama hizo walikuwa na umoja tofauti na leo tunaona wanajeshi wakongwe wanajuta kwa uvamiz walioufanya huko iraq na kuiponda serikali yao ila enzi hizo ilikuwa mgogoro wowote nchi nzima mnakuwa upande mmoja mbali na wale maspy na mapandikiz , ndan ya China wapo krb nusu ya robo ya wachina wanauraia pacha na serikali yao inawanyima fursa kisa uraia wao pacha
 
China anajiimarisha kwenye kila teknolojia
Anajiimarisha kiuchumi

Anajiimarisha kisilaha

Anajifunza kupitia makosa ya Urusi huko Yukraini

Anajua kabisa kuwa Marekani atamsaidia Taiwan, hivyo anajiandaa kwa vita kubwa na ya muda mrefu.


Tutaoathirika ni nchi tegemezi kwa China.

Tanzania tutakosa sabuni maana kemikali nyingi hutokea China
 
Sema inategemewa na Dark contenent kama afrika kuja kumwaga toys zao huku
Acha uongo wako - wewe umewahi kwenda au kuishi Ulaya au Merikani na kuangalia ni house hold gani ambayo haitumii kifaa chochote kutoka Uchina - msiwe mnarudia rudia paropaganda za west kuwakashifu Wachina, Wachina hawakufikia hatua ya kutaka kuwa piku Wamerikani kiuchumi Duniani out of the blue-likumbuke sana hilo.
 
Kwamba China na Urusi waachwe wavamie wanapotaka ? Au kisa hawajakuvamia ? Utomaso unatuua waafrika hatuchukui hatua mpk ttzo litue mlangon
Mbona Marekani na Uk waliongoza kuvamia Libya, Iraq, Yemen, Afghan n.k. na uliinua sauti yako kukemea huo uzayuni?
 
Hiv unaakiri sawasawa kweli, maeneo yanayokwapuliwa na mvamizi na watu kwenye nchi yao( Taiwan) kuna ufanano hapo
Kwahyo wewe ndio unaakili sawa sawa au sio

Mbona hao wazungu hawaisaidii Congo inayosumbuliwa na waasi wanaotaka kujitenga wala hawaoneshi kuomba walaaniwe wale waasi kama wanavyotaka Russia alaaniwe.

Mbona wale waasi wa Congo,Mozambique hawajawekewa vikwazo ili wasipate silaha za kutaka kumega nchi husika.

Usitumie kichwa kufugia nywele na kunyolea kiduku,Mambo mengi hayapo kama unavyoyaona.

Hao wazungu unaowaona wako sahihi sana mbona ndio walivamia Iraq,Syria,Libya n.k kwanini hawamvamii Mrusi nae wamuondoe.

Wakati wanaivamia Iraq naiman ulikuwa na bado unaoga nje ila kama ungekuwa mkubwa ungejua namna ya kubalance shobo.

Hakuna anaeumia na Ukraine kuvamiwa ila tu ni mipango ya kupambana na nchi waliyoona ina nguvu sana na inatakiwa kupunguzwa.

Kule Israel na Palestina kila mara kinaumana ushawahi kuona msimamo wa hao unaowaita wapatanishi.Tayari wameshachagua upande wao.
 
Back
Top Bottom