Sikie
Acheni kubishia uzoefu na kukariri...
Marekani ni mtoto kwa China..
Msichukulie marekani kujipendekeza ovyo ovyo kwenye vita huko masharki ya kati,Syria na kwingineko ndio ananguvu..
Ila tatizo anakiherehere pia sifa..
Marekani hana silaha nzito kama za uchina..
Ila hajaamua uchina kuzitumia hizo silaha yani hana kihelehele kama cha marekani.
China ina satellite ambayo ipo katika./juu ya ardhi yenye uwezo mkubwa...
Pia ni nchi yenye kituo pekee cha kijeshi angani so usijalibu kulinganisha na landbase za marekani..
China wana uwezo mkubwa wa cytology so kudecrypt na encryptions na uwezo wa kujua keys zilizotumika ni mkubwa....
China wanauza software nyingi za kijeshi na device zake kwa nchi nyingi ikiwemo marekani so hata kuzitengua hawezi shindwa..
N.K.
Inshort wanauwezo mkubwa hatari wat wa uchina...
Tumieni elimu zenu vizuri,hasa watu wa IT,computer science,cytologist, n.k
Ahsanteni ila usipopenda pita kushoto.
Seeing is believing.