HahahahaOmba radhi haraka, if you don't utapotea humu milele, nakugeuza nyumba ndogo sasa hv.. na utakaa uchi all ur life..!!
Inawezekana unachokisema kina ukweli ila nlichokiona kwako Inatakiwa upate muda wa kusoma sana... Marekani wanafanya exhibition sana tofauti na china unalijua hilo... Sidhani kama ww unaijua strength ya US zaidi ya jinping aliyepay attention ya vita... Ingekuwa china ni kama afghanistan ingeshapigwa kitambo sana au hata kwa tukio la kuikamata ile sub marine juzi kati mmarekani angeshashusha navy seal beijing... Uchumi unakuwa alongside security advancement blazaMchina hana kitu weee, China kivita mbele ya U.S.A ni takataka... narudia takataka..!! If you know military powers in details utanielewa..!!
Mkuu hv kati ya China na US nani yuko mbele kwenye military tech? tuwe wakweli ktk hili vita si vyakushabikia lakini mchina hawezi narudia tena hawezi na US wala hajawai kumfikilia mchina kama threat kwake kwa upande wa nguvu za kijeshi ni Russia tu china ni threat kwa US kwa upande wa uchumi tu na china hawezi kuchezea Opportunity ya uwezekano wa kuwa super power kwa uchumi dunian ifikapo 2050 kwa kujiingiza kwenye vita kwa sasaChina ameshapeleka makombora yake karibu na mpaka na russia,inayompa angle ya makombora kupiga marekani ,na makombora hayo yamelengwa marekani.
Marekani anatumia software nyingi za mchina katika weapons system zake,
hivi karibuni destroyer mpya ya marekani USS ZUMWALT ilinock kwa sababu ya software za mchina,na pia destroyer mpya kabisa ya UK nayo ika knock sababu wanatumia componet za mchina sasa inasemekana ni hujuma mchina kawafanyia
Mkurupukaji huyo... Marekani anavopenda sifa angeshampa kichapo muda mrefu ila haendi cz anajua muziki wakeWe nahisi umekula ugali na mayai viza
Lakini nasi tukijipanga vyema Afrika yaweza kuwa fursa..Wasipigane ajira hazitakuwepo maana madhara ya vita kubwa kama hizo ni kupotez ajira, kuharibu miundo mbinu na vifo, kumbuka vita ikiisha wataanza kujiimarisha kiuchumi na kuja tena kwetu kudokoa malighali na hakutakua na Marshall plan, Xi jinping plan, wala Trump plan macho yote yatakua how to underdevelop Africa kwa kuiba resources, Afrika italazimika kubana matumizi maana hakutakua na misaada ng'o
Acha uwongo duh father of technology copy china [emoji15]China ameshapeleka makombora yake karibu na mpaka na russia,inayompa angle ya makombora kupiga marekani ,na makombora hayo yamelengwa marekani.
Marekani anatumia software nyingi za mchina katika weapons system zake,
hivi karibuni destroyer mpya ya marekani USS ZUMWALT ilinock kwa sababu ya software za mchina,na pia destroyer mpya kabisa ya UK nayo ika knock sababu wanatumia componet za mchina sasa inasemekana ni hujuma mchina kawafanyia
Acheni kubishia uzoefu na kukariri...Jeshi la China limetangaza kuwa, kuendelea kuwa mbaya hali ya mambo kuhusiana na usalama wa bahari ya eneo, machafuko katika eneo la Asia na Bahari ya Pasifiki na kadhalika misimamo tata ya rais mpya wa Marekani, inalilazimu kujiandaa kuingia vita tarajiwa na Marekani kuliko wakati mwingine wowote.
Taarifa iliyotolewa na mtandao wa jeshi la China wa Army Daily imesema kuwa, kwa kuzingatia siasa na matamshi ya uhasama ambayo yamekuwa yakitolewa mara kwa mara na Rais Donald Trump wa Marekani, Beijing imeamua kujitayarisha kukabiliana kijeshi na nchi hiyo.
Ripoti hiyo ya jeshi la China imefafanua kuwa, msimamo wa Washington wa kuweka ngao ya makombora ya THAD nchini Korea Kusini, kuongeza idadi ya askari wake katika maeneo ya mashariki na kusini mwa bahari za Uchina na kadhalika kuanzisha mlingano mpya barani Asia, ni siasa ambazo zinaweza kuwasha moto wa vita wakati wowote.
Hivi karibuni pia Rais Xi Jinping wa China na ambaye ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi ya nchi hiyo alinukuliwa akisema kuwa, askari wa taifa hilo lazima wajiimarishe kuliko wakati mwingine wowote ule, kauli ambayo imetafsiriwa na weledi wa mambo kuwa ni maandalizi ya kijeshi kwa ajili ya kuingia vitani na Marekani.
Katika kampeni za uchaguzi wa Marekani kwa mara kadhaa Trump alitoa matamshi ya uhasama dhidi ya Uchina kiasi cha kuifanya Beijing kumtaja rais huyo mpya wa Marekani kuwa mwenye nia mbaya dhidi ya China.
Makomando wa jeshi la Uchina wakiwa katika maandalizi
source: Radio tehran
Unafikiri USA atapigana na china kama alivyopigana na Iraq people superpower sio lele mamavita sio show game kwamba una base nyingi ndo hupigwi,mchina amtwanga mmarekani bila tabu yeyote,marekani anajivunia navy group,lakini mchina anauwezo wa kuzamisha hizo aircraft carrier ndani ya siku moja ,kwa kutumia antiship yake ambayo ni intercontinental,
na ikifikia point of no return,mchina anaweza kuzitungua satelite za mmarekani na kusababisha mtafutano mkubwa kwani GPS haitafanya kazi na silaha nyingi kuwa useless,
hapo bado hajafyatua nuclear,
hakuna mshindi hapo wote watapoteza tu
Iraq kumbuka huyo sio total warUS hana uwezo wa kumpiga Mchina.....angekuwa na uwezo wa kumpiga asingeruhusu Mchina akashindana nae hata kwenye maswala ya uchumi.....Hicho kinachoonekana kama nguvu ya kiuchumi ya China ni ishara sawa sawa hata katika Vita.........Mim nadhan US anaiogopa China zaid kuliko hata Russia......kama mnadhan ni mchezo hyo Trump aanze mashambulizi kwa China....aone kitakachomkuta......Kwasasa naamin China wako vzuri sanaa kuliko US....US wanamuogopa Iran....Korea ya Kaskazin na Russia....hizo nchi hata avimbishane nazo kwa namna gan bado hatakuwa na uwezo wa kuzipga na wala hatajaribu ......kwasabab atakapojaribu ndio ataona shuguli yake.....Iraq tuu iliwasumbua sanaa .....sasa kuijaribu China si kujiangamiza.....kumbukeni Iraq hawakuwa na Nuclear......lakin walisumbua sanaa US ....sasa hawa wengne Nuclear kwao ndio home.......US hawez kumjaribu mtu mwenye Nuclear maana anaijua shughuli yake watamkuta US..maana vita zote US kapigana hajawahi kupigwa kwake....atakapowajaribu hawa jamaa (China,Russia, Iran na North Korea) atauona moto wa vita mpaka kwenye ardhi yake sio ardhi ya ugenini na ikishafika hapo .....US ataomba poooooo
Mkuu hv kati ya China na US nani yuko mbele kwenye military tech? tuwe wakweli ktk hili vita si vyakushabikia lakini mchina hawezi narudia tena hawezi na US wala hajawai kumfikilia mchina kama threat kwake kwa upande wa nguvu za kijeshi ni Russia tu china ni threat kwa US kwa upande wa uchumi tu na china hawezi kuchezea Opportunity ya uwezekano wa kuwa super power kwa uchumi dunian ifikapo 2050 kwa kujiingiza kwenye vita kwa sasa
$598.5 billion US anaspend kwenye military projects kila mwaka
na bajeti ya mwaka huu inakadiriwa kuwa $773.5 billion. huku 30% ikielekezwa kwenye mambo ya millitary research na military technology
huku china ni $146 billion
Nani aliyekwambia nguvu ya uchumi ndio nguvu ya kivita ni nani? Russia ni nchi ya 12 kwa uchumi mkubwa duniani lakini ndo nchi inayomfanya US nchi ya kwanza duniani kwa uchumi asilale kwa amani kila anachokifanya kwenye millitary ni kwa ajili ya Russia so ukiangalia GDP wamepishana sanaUS hana uwezo wa kumpiga Mchina.....angekuwa na uwezo wa kumpiga asingeruhusu Mchina akashindana nae hata kwenye maswala ya uchumi.....Hicho kinachoonekana kama nguvu ya kiuchumi ya China ni ishara sawa sawa hata katika Vita.........Mim nadhan US anaiogopa China zaid kuliko hata Russia......kama mnadhan ni mchezo hyo Trump aanze mashambulizi kwa China....aone kitakachomkuta......Kwasasa naamin China wako vzuri sanaa kuliko US....US wanamuogopa Iran....Korea ya Kaskazin na Russia....hizo nchi hata avimbishane nazo kwa namna gan bado hatakuwa na uwezo wa kuzipga na wala hatajaribu ......kwasabab atakapojaribu ndio ataona shuguli yake.....Iraq tuu iliwasumbua sanaa .....sasa kuijaribu China si kujiangamiza.....kumbukeni Iraq hawakuwa na Nuclear......lakin walisumbua sanaa US ....sasa hawa wengne Nuclear kwao ndio home.......US hawez kumjaribu mtu mwenye Nuclear maana anaijua shughuli yake watamkuta US..maana vita zote US kapigana hajawahi kupigwa kwake....atakapowajaribu hawa jamaa (China,Russia, Iran na North Korea) atauona moto wa vita mpaka kwenye ardhi yake sio ardhi ya ugenini na ikishafika hapo .....US ataomba poooooo
Hujui lolote nyamazaChina hawezi kuishinda marekani kwenye vita hata siku moja.Silaha zake zenyewe 90% ni copy n pest.
China na Urusi zinafurahia kuwepo kwa Trump [emoji448] kwa sababu ni raisi kumuongoza kuliko yule mama Clinton kama angeingia. Sera za China na Urusi kwa sasa ni kufanya biashara na nchi kama za Africa [emoji288] ambapo trump [emoji448] anataka biashara ziludi kwao kwa Sera izo. Trump [emoji448] kashachemka tayariTehran duh china na marekani haziwezi pigana
Kweli kabisa mkuuSidhani kama china yuko tayali kwa vita kwa kipindi hiki yeye anachopigania ni kuwa super power upande wa uchumi kwani vita kati ya US na China inaweza kuharibu mipango ya china na kuirudisha nyuma china kwa miaka zaidi ya 50 kwani kwa upande ule mtu ambae atapigana upande wa china ni Korea kaskazini na Philippines lakini Japan,korea ya kusini, Thailand Australia na NATO watakuwa upande wa US china iran russia bt kwa Russia si mtu wa kumtegemea sana kwa linapokuja swala la maslai wazungu huwa wanaungana na kuwa pamoja nadhani mnajua mahusiano ya russia na Iraq ,libya yalivyokuwa ?