China yajiandaa na vita dhidi ya Marekani

China yajiandaa na vita dhidi ya Marekani

Mnaoniquote sorry nashindwa kuwajibu,hii version ya jf inanipa tabu sana kumquote mtu natumia masaa matatu,so labda ntakuwa natupia vijibu kwa style ya ambush,maana sijui wap wamepeleka wapi hawa jf.
Yes marekani wana bajeti kubwa na hii inatokana na kuwa na base 800 nje ambazo ni useless,pesa zinaishia kwenye running cost,kama chakula,mafuta,spare na mabomu ya kuwarushia waarabu,mishahara na posho etc,
china hana base nyingi hivyo nje,kwahiyo bajeti yake inatumika zaidi kwenye weapons developments kuliko marekani.
Hata kama marekani wako juu kitech lakini hajamwacha china mbali na haina impact,
marekani wanategemea baadhi ya components za weapons system kadhaa mfano F-35,zumwalt etc toka china,and that speak a lot kuhusu maendeleo ya kitechnolojia ya mchina
Hakuna component yoyote ya kijeshi marekani anatumia kutoka china,huo ni uwongo wa mchana kweupe kama tulivyokuzoea.Tuambie ni components gani hizo marekani aliagiza kutoka china mbazo zipo kweNYE f-35?,,zitaje na utume na link ilikozitoa.China kila siku anakesha kucopy military components za US.Wachina hadi ndege za abiria kama Boeing walishaanza ku copy hadi kuna spy walishakamatwa na sasa wapo gerezani US,wote walikiri kutumwa na china kuiba Blue print za F-35 na ndege za abiria za kampuni ya boeing.Wachina hawajaishia hapo,pia wapo kwenye mchakato wa ku tafuta blue print za B-2 bomber ili wakatengeneza ya kwao,Hapa wanapata ugumu cos hizi ndege zilitengenezwa kwa usiri mkuwa sana miaka ya 1980s.Wenyewe hadi sasa bado wana import ndege kutoka russia,ni juzi tuu hapa wamenunu SU-35 iwape backup.Kama wanatech ya had kumuuzia US components,why wanashindwa kuunda ndege zao bora hadi mpaka sasa taifa kubwa kama china wana inport ma export version ya ndege kutoka russia kwa ajili ya kutumia wao kijeshi?..NI kilaza peke yake design yako atakaye amini maneno yako...UONGO MTUPU!!!
 
Hyo DF-31 Izamishe carrier wakt kuna kitu new kabisa SM-6 missile defense ipo kwa ajili ya shughuli km hizo.Halafu hv unadhan carriers za US huwa zipo zenyewe tu kwny mission?!, US carriers zina defences zake pia zikisindikizwa na manowari zingine ambazo ni ant-ICBM capable sasa hilo kombora linapita wapi.
Halafu hv unadhan US hana hzo ant-satellite weapons, anazo kibao tena yeye nd kaanza kuzimiliki kabla ya China tena mpk sasa hv missiles defences zake kaziongezea hvyo role ya ant satellite mfano ni SM-3 Missile. Halafu marekan huwa anaona mbali sana alishaona kuna tishio la kuongezeka kwa ant satellites weapons ndo maaana akawekeza kwenye technology ambayo itafanya makombora ya US yapige target hata km ikitokea GPS Imezimwa tena hyo tech inapatkana kwenye Tomahawk Block IV(nimeisahau jina). Tena huko kwenye mambo ya satellites China ndo hagusi kabisa maAANa mwak juzi tu US alirusha satellite kwa kutumia ndege F15 na haijawah kutokea yeye ndo wa kwanza.
Airpower ndo kabisaaAAAaa mchina mpk Su-35 zitoke Russia Leo.
Hhahaha,mkuu umempa somo kali sana huyu propagandanist 'Ilungata'huyu jamaa ni muongo sana asee,anakwambia US anaagiza components za F-35 kutoka china,hpo ndo kaniacha hoi.China ana jeshi zuri tuu lakini huwezi kufananisha na jeshi la U.S kwa vifaa na technology.The only rival wa US kwenye military tech ni Russia,hapo nakubali 100%.
Mkuu kwa kuweka record sawa,'Tomahawk block IV' hizi ni upgraded Cruise missils ambazo zimefungwa kwenye US destroyers.
 
marekani hapigani na nchi yenye uwezo kijeshi kama China, ijapokuwa wananguvu kijeshi kumshinda huyo China.
 
Sikie

Acheni kubishia uzoefu na kukariri...
Marekani ni mtoto kwa China..

Msichukulie marekani kujipendekeza ovyo ovyo kwenye vita huko masharki ya kati,Syria na kwingineko ndio ananguvu..
Ila tatizo anakiherehere pia sifa..

Marekani hana silaha nzito kama za uchina..
Ila hajaamua uchina kuzitumia hizo silaha yani hana kihelehele kama cha marekani.

China ina satellite ambayo ipo katika./juu ya ardhi yenye uwezo mkubwa...

Pia ni nchi yenye kituo pekee cha kijeshi angani so usijalibu kulinganisha na landbase za marekani..

China wana uwezo mkubwa wa cytology so kudecrypt na encryptions na uwezo wa kujua keys zilizotumika ni mkubwa....

China wanauza software nyingi za kijeshi na device zake kwa nchi nyingi ikiwemo marekani so hata kuzitengua hawezi shindwa..

N.K.
Inshort wanauwezo mkubwa hatari wat wa uchina...

Tumieni elimu zenu vizuri,hasa watu wa IT,computer science,cytologist, n.k

Ahsanteni ila usipopenda pita kushoto.
Seeing is believing.
Mkuu China size yake ni India wala si Marekani, Marekani ni zaidi ya hilo jina, technology ya jeshi la Marekani si mchezo, na ukumbuke kuwa Marekani huwa haiingii vitani kijinga kijinga,, mmarekani anatumia akili ya hali ya juu katika maamuzi yake,, anakuchokoza kiasi unajianiaka mwenyewe na kwa Njia hio huwa anaelewa udhaifu wako na jinsi ya kukushambulia
 
Back
Top Bottom