Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,730
- 3,525
Lakini zitakutwanga tuuChina hawezi kuishinda marekani kwenye vita hata siku moja.Silaha zake zenyewe 90% ni copy n pest.
Lakini zitakutwanga tuuChina hawezi kuishinda marekani kwenye vita hata siku moja.Silaha zake zenyewe 90% ni copy n pest.
Hyo DF-31 Izamishe carrier wakt kuna kitu new kabisa SM-6 missile defense ipo kwa ajili ya shughuli km hizo.Halafu hv unadhan carriers za US huwa zipo zenyewe tu kwny mission?!, US carriers zina defences zake pia zikisindikizwa na manowari zingine ambazo ni ant-ICBM capable sasa hilo kombora linapita wapi.vita sio show game kwamba una base nyingi ndo hupigwi,mchina amtwanga mmarekani bila tabu yeyote,marekani anajivunia navy group,lakini mchina anauwezo wa kuzamisha hizo aircraft carrier ndani ya siku moja ,kwa kutumia antiship yake ambayo ni intercontinental,
na ikifikia point of no return,mchina anaweza kuzitungua satelite za mmarekani na kusababisha mtafutano mkubwa kwani GPS haitafanya kazi na silaha nyingi kuwa useless,
hapo bado hajafyatua nuclear,
hakuna mshindi hapo wote watapoteza tu
Zinaaanzaje kwa mfano, km ziliweza kudetect vitu feki wakat wa kutafufa ndege ya Malaysia ndo zitamweza mmarekan?!Lakini zitakutwanga tuu
Yani kitu kipo kiwandan unaaaanza kukisifia ubora kushinda ambach kishaaanz kazi.Et cutting edge, wakt ndege tu imewashinda mpk wakaibe data za F35 hlaf walivy washenz wanakopi hadi umbo.Expert: China's future destroyer more advanced than USS Zumwalt - China Military.
The U.S. Navy Knowledge Online (NKO) website recently reported that the Type 055 destroyer, the PLA Navy's first surface main battle vessel with the displacement of more than 10,000 tons, is under construction with fast progress.
Du Wenlong, a senior researcher at the PLA Academy of Military Science, said in an interview with CCTV's Asia Today that general utilization is the future trend of surface vessels.
If China were really developing the Type 055 destroyer, it would be the beginning of China's large universal platform, and it would employ cutting-edge technologies more advanced than the USS Zumwalt (DDG-1000).
According to U.S. media, the photo taken in October 2015 showed that the first module of the Type 055 destroyer was in shape, and its stern module appeared in May 2016, which was probably the takeoff/landing platform and hangar for ship-borne helicopters.
Photos taken in late July and early August this year indicated that a Shanghai-based shipyard was assembling the vessel body. The U.S. media therefore conjectured that China's first Type 055 destroyer might enter water in early 2017 and be delivered to the PLA Navy in 2018 at soonest.
However, the Chinese military never responded to rumors about the Type 055 destroyer.
CCTV reported that the PLA Navy's main surface vessels include destroyers and frigates, and the most advanced Type-052D destroyer has a displacement of less than 10,000 tons. Therefore, the Type-055 destroyer has drawn close attention, and some U.S. media even called it a cruiser.
In the U.S. Navy, cruiser is on a higher administrative level than destroyer and a cruiser captain is equivalent to the commander of a destroyer squadron. More importantly, cruiser is the escort of aircraft carrier. When a carrier battle group sets out on the sea, destroyers and submarines can leave the group to act independently, but cruiser has to be with the aircraft carrier all the time.
According to Du Wenlong, cruiser, destroyer and frigate, the three buddies on the sea, are being integrated and large universal platforms may replace all combat vessels in the future.
"General utilization is the trend. The PLA Navy is exploring universal surface equipment. If China were really developing the Type-055 destroyer, it would be the beginning of China's large universal platform, and when it entered water, it would be a major milestone for the Chinese Navy," Du said.
The NKO website held that as the Chinese economy develops rapidly, its overseas interests are expanding continuously. Since China has no overseas military base yet, it is in urgent need of larger surface main battle vessels because larger tonnage means longer stay on the sea.
Based on previous analyses by U.S. media, the Type-052C "China Aegis" that's currently in service with a displacement of about 7,000 tons is equipped with 48 vertical missile launching units, the Type-052D has a displacement of about 7,500 tons with 64 vertical launching units, and the new-generation Type-055 destroyer will have a displacement of over 10,000 tons with 90-100 vertical launching units
Mkuu hzo Global Defense Companies top 5 hata ukienda top 10 huwezi kukuta kampuni ya china pia soko la silaha la china ni “Pakistan akiwa ananunua silaha za china kwa 35% na Bangladesh na Myanmar kwa 20% na 16% hawa ndio wateja wakuu duniani wa silaha kutoka china na china anauza 5.6% ya soko la dunia huku US and Russia ndio viongozi wa global arms market, 80% duniani zinashikiliwa na hz nchi mbiliizzo ,sasa ndugu mbona umetaja makampuni ya magharibi peke yake wakati unajuwa wazi kuwa hayo huuza silaha kwa washirika peke yao?,
russia kuna kampuni nyingi tu za silaha,
china pia yako makampuni makubwa tu,
ninaposema marekani wanatumia software za mchina sio kwamba natania,just google,au mpaka nikupe keywords?,
google neno USS ZUMWALT and china software
Jamani nyie china nae sio mtoto marekani wenyewe wanakopa chinaKm unafatilia mamb ya kijeshi utakubaliana na me kwamba China kwa marekan bado sanaaaaa.
Wewe ndio ujui kitu, wewe Unafikiri zile base zilizowekwa na Marekani, walikurupuka. Marekani ni strong strong [emoji123] [emoji123]. Tofauti na unavyofikiria wewe, Unafikiri kwa technology ya copying and paste ya mchiness atampiga mmarekani. Angalia hata budget walizo nazo American katika ulinzi. Usifikiri kuwa na wanajeshi wengi ndio kushinda vita. Ishu ni technology babuBro. Tulia tu ww hujui lolote..
Tupo kimya ila mengi tunayajua...
Chinese wana professional spies ila hawajioneshi mkuu.
Good luck
Jaribu na ww kucopy hizo technology sasa tuone!Wewe ndio ujui kitu, wewe Unafikiri zile base zilizowekwa na Marekani, walikurupuka. Marekani ni strong strong [emoji123] [emoji123]. Tofauti na unavyofikiria wewe, Unafikiri kwa technology ya copying and paste ya mchiness atampiga mmarekani. Angalia hata budget walizo nazo American katika ulinzi. Usifikiri kuwa na wanajeshi wengi ndio kushinda vita. Ishu ni technology babu
Wameishiwa pointi,wanaleta habari ya vita ambayo will never happen.Ni habari za kujipa moyo tu. Hakuna vita yoyoteMchina hana kitu weee, China kivita mbele ya U.S.A ni takataka... narudia takataka..!! If you know military powers in details utanielewa..!!