Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,762
- 7,473
Kweli kabisa mkuuChina hawezi kuishinda marekani kwenye vita hata siku moja.Silaha zake zenyewe 90% ni copy n pest.
Kweli kabisa mkuuChina hawezi kuishinda marekani kwenye vita hata siku moja.Silaha zake zenyewe 90% ni copy n pest.
Iyo kununua izo software ni kutaka kuzijua na kufanyia uchunguzi zinafanyaje kazi. Americans wana spy ya hatari sana. Project kubwa zote Marekani kafanya mchina anakuja kukopi.Sikie
Acheni kubishia uzoefu na kukariri...
Marekani ni mtoto kwa China..
Msichukulie marekani kujipendekeza ovyo ovyo kwenye vita huko masharki ya kati,Syria na kwingineko ndio ananguvu..
Ila tatizo anakiherehere pia sifa..
Marekani hana silaha nzito kama za uchina..
Ila hajaamua uchina kuzitumia hizo silaha yani hana kihelehele kama cha marekani.
China ina satellite ambayo ipo katika./juu ya ardhi yenye uwezo mkubwa...
Pia ni nchi yenye kituo pekee cha kijeshi angani so usijalibu kulinganisha na landbase za marekani..
China wana uwezo mkubwa wa cytology so kudecrypt na encryptions na uwezo wa kujua keys zilizotumika ni mkubwa....
China wanauza software nyingi za kijeshi na device zake kwa nchi nyingi ikiwemo marekani so hata kuzitengua hawezi shindwa..
N.K.
Inshort wanauwezo mkubwa hatari wat wa uchina...
Tumieni elimu zenu vizuri,hasa watu wa IT,computer science,cytologist, n.k
Ahsanteni ila usipopenda pita kushoto.
Seeing is believing.
Lakini nasi tukijipanga vyema Afrika yaweza kuwa fursa..
.kufa kufaana mkuu.
Bro. Tulia tu ww hujui lolote..Iyo kununua izo software ni kutaka kuzijua na kufanyia uchunguzi zinafanyaje kazi. Americans wana spy ya hatari sana. Project kubwa zote Marekani kafanya mchina anakuja kukopi.
Mchina na project za Power Bank ndio project zao izo
Hakuna mtu mwizi wa Technology duniani kama mchina mchina yeye anasubili wenzie wapoteze fedha na muda kwenye projects na research yeye anaiba tu na ndo maana 90% ya product kutoka china ni copy & paste ya product za ulaya au USMnaoniquote sorry nashindwa kuwajibu,hii version ya jf inanipa tabu sana kumquote mtu natumia masaa matatu,so labda ntakuwa natupia vijibu kwa style ya ambush,maana sijui wap wamepeleka wapi hawa jf.
Yes marekani wana bajeti kubwa na hii inatokana na kuwa na base 800 nje ambazo ni useless,pesa zinaishia kwenye running cost,kama chakula,mafuta,spare na mabomu ya kuwarushia waarabu,mishahara na posho etc,
china hana base nyingi hivyo nje,kwahiyo bajeti yake inatumika zaidi kwenye weapons developments kuliko marekani.
Hata kama marekani wako juu kitech lakini hajamwacha china mbali na haina impact,
marekani wanategemea baadhi ya components za weapons system kadhaa mfano F-35,zumwalt etc toka china,and that speak a lot kuhusu maendeleo ya kitechnolojia ya mchina
Acha mipasho wa kiume ww ujue.Hujui lolote nyamaza
Hv China ina silaha gan nzto kuizid US?!Sikie