Mkuu hiyo ni ploy tu hahahahahaWako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,
Hao Wa-Komunisti sio wa kuwaamini. Unakumbuka mlivyokuwa mnamtukana Biden eti kazeeka vibaya alipokuwa anawaambia kwamba URUSI anataka kuivamia Ukraine? Mlisema ni Propaganda za Marekani. Lakini HATIMAYE tunaona Uvamizi ulishatokea Kama alivyosema Biden. Waziri wa Mambo ya nje wa URUSI Lavrov alipoulizwa alikataa kwamba URUSI Haina Mpango wa kuivamia Ukraine lakini tarehe 24 Feb,Ukraine walishitukizwa na Mashambulizi makali ya Anga. Je,kazi ya Biden na Lavrov Nani anapiga Propaganda?Russia haikuomba msaada wa kijeshi china ,Wala china haikusemwa inatoa msaada wa kijeshi
Kama huzijui siasa za ulimwengu ficha upumbavu wako.Wako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,
Wako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,
View attachment 2160377
Nalog off
China kapeleka msaada wa kibinadamu kama dawa, chakula ,mahema sio msaada wa kijeshi.hiyo ni kawaida wala sio ishu.[emoji23] China sungura saan[emoji23]
Utakua una upeo finyuWako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,