China yaipa Ukraine msaada wa yuan milioni 10

China yaipa Ukraine msaada wa yuan milioni 10

Mimi mkulima, ila sio comedian, sasa wewe unataka kujiunga NATO baada ya kichapo unataka kubadili mawazo, toka mwanzo ungekataa NATO nchi ingekuwa salama
"Sasa wewe unataka kujiunga NATO" nikuambie kitu kajifunze lugha
 
Kwani kutoa msaada ni dhambi ?

Pili vita ya Russia ni Raia wa Ukraine ?

Hata Putin mwenyewe anaweza kutoa msaada kwa raia wa Ukraine hio ndio inaitwa goodwill na Public Relations

Mwisho wa siku kila mtu anaangalia their long term benefit..., And its for the benefit of China to have a weaker America
Russia ametoa masaada wa kiraia Ukraine ,kutoa msaada wa sio dhambi
 
Wako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,
Mkumbuke na kumwombea 'mtu wenu'
Screenshot_20220322-141548.jpg
 
Hapa ni kujiongeza tu, mchina yupo against na Russia ktk hili.
 
Russia haikuomba msaada wa kijeshi china ,Wala china haikusemwa inatoa msaada wa kijeshi
Waliomba mkuu saana lakini pia wakaomba na kwenye yale makundi ya foreign fighters kutoka kongo na syria wale waarabu wa islamic state, walitangaza kuwapa donge nono wakasaidie hiyo wanayoiita operesheni maalum
 
Mchina anabembeleza mahusiano yake na western yasiharibike maana anajua mrusi si size yake kiuchumi alishatoka huko kwenye uchumi wa kidola ambao urusi ndiyo wanaukumbatia. China anawaza namna gani atampita US so lazima akae nae vizuri naye bado hajasahau dafrau la huawei
Wanamlia timing ya Taiwan
 
Mchina amesema wazi kukemea Urusi sio solution kwahiyo kwake hakuna sababu ya kukemea Urusi, shida ni kwamba nchi za magharibi zina lazimisha kila nchi ikemee Urusi wakati kila nchi ina sera zake za mambo ya nje , ndio maana hata Israel wala hajakemea Urusi kanyamaza kimya mpaka yule Comedian jana alikuwa anahutubia bunge la Israel mpaka anataka kulia maana waisrael wamekula kimya wapo neutral
Usichojua ni kuwa Jews wapo Russia na Ukraine, Rais wa Ukraine ni Jew

Hujawahi jiuliza inakuwaje IAF inaingia Syria na kutoka bila kupigwa?
 
Usichojua ni kuwa Jews wapo Russia na Ukraine, Rais wa Ukraine ni Jew

Hujawahi jiuliza inakuwaje IAF inaingia Syria na kutoka bila kupigwa?
Hii ina fahamika, kwanini waisrael wametapakaa ,turudi kwenye hoja ya msingi Israel state msimamo wake wao neutral ndio maana PM anajaribu kuwapatanisha Urusi na Ukraine, kuhusu Syria iko wazi kuna mkataba wa Russia na Israel kupiga vile vikundi vyenye uhusiano na Iran, muhimu askari wa Urusi yuko salama
 
bola wapewe msaada ,ili wasisingizie walipigwa kwa sababu walikuwa na njaa,tunataka Ukraine soldier's pamoaj na msanii wao wapigwe huku wakiwa wameshiba ,ili kuaiwe na kisingizio!!
 
Kwani kuna mahali serikali ya Russia imeomba msaada wa kijeshi ? hizi propaganda za magharibi tuuu
Ipo sana ndugu yangu mara kadhaa Putini anaiomba China ikae na kusaidia upande wa Russia sambamba na kuwakodi foreign fighters walioko kule kongo na syria
 
Zelensky alipotaka mazungumzo na Russia hakumaanisha kwamba ameshindwa vita, hayo maneno alisema kwa kuona kwamba vita haina maana lakini alisisitiza kama na Russia hawatafanikiwa kwenye mazungumzo yao basi Urusi itegemee vita vya tatu vya dunia.,
NATO sisi Warusi ndio adui yetu , kama amekubali kuto jiunga nao basi hapo mazungumzo yanaweza kuwa na tija, viva Putin
 
Hapo china anachezea sharubu za marekani. Huyu jamaa ni mjanja sana . Kwa urusi anatoa Silaha ila kwa ukraine anatoa chakula na misaada ya kiutu.
 
Ipo sana ndugu yangu mara kadhaa Putini anaiomba China ikae na kusaidia upande wa Russia sambamba na kuwakodi foreign fighters walioko kule kongo na syria
Sio kweli wale ni volunteers kama wanao taka kuvolenteers Ukraine , kama msaada wa kibinadamu sawa au hujui Rusia ana wakimbizi zaidi ya laki 1? Ila msaada wa kijeshi kama Ukraine ndugu Putin hajawai kuomba
 
Wako wapi wale wanaosema China na Mrusi lao moja mbele ya vikwazo vya magharibi? on top that jana balozi wa China nchini US ameithibitisha Marekani mapaka sasa bado china hawajatoa msaada wowote wa silaha za kivita kuisaidia Russia vita ya Ukraine.,
Mbona Urusi wanatoa msaada wa chakula na tiba kwa wananchi??

Msaada wa kibinadamu sio sawa na msaada wa kijeshi.
 
Back
Top Bottom