China sio nchi iliyoendelea

Uhuru ni kigezo cha nchi iliyoendelea.

Kuna Wachina nilisoma nao chuo New York. Wametoka China lakini ukijaribu kuzungumza nao, ukiwauliza China kukoje, unaona kabisa wanaogopa kuongea, wanaona labda unaweza kuwa spy umetumwa na serikali ya China kuwachunguza.
 

Hapo ulipo kuna Wamarekani wangapi?
 
Huyu jamaa Kiranga hoja hana zaidi ni kutuchanganya na mi pdf mireeefu, atoe hoja nzito zenye kueleweka kwenye hio mi pdf atafute hoja zenye mashiko za kujadili.
Hapa tunaweza kubishana mpaka subuhi, kwa sababu, hakuna definition rasmi ya nchi iliyoendelea iko vipi na inayoendelea iko vipi.

Wachumi wenyewe hawakubaliani, na suala hili lina siasa nyingi.

Na nchi nyingi zinaachiwa zenyewe ziamue kuitwa zinavyotaka, zimeendelea au zinaendelea.

Hivyo, linabaki kuwa suala la mtazamo.
 
Oooh man population ya 1.4 Bln unataka kufananisha na tu nchi twenye watu wachache kama Portugal katika wingi wa masikini serious ?
 
 
Provide a strong opposing argument, point out what is wrong with my argument, sio kusema tu ni logical fallacy, just explain why it's a weak argument, nahisi unakimbia debate kijanja.
It's a weak argument because it is a "Trump said so" argument.
 
Mkuu,
Umeanzisha mada nzuri lakini umeshindwa kuitetea. Swali kwako kigezo cha nchi zikizoendelea ni kuwa na kipato kikubwa tu (Per capita income)? Kama sio tuambie vigezo ni vipi sasa, hapo utakuwa umeitendea haki mada hii
 
Wachina gani unao wazungumzia wewe hawa hawa wanaokesha weibo kuiponda serikali yao inapokosea au ?
 
Oooh man population ya 1.4 Bln unataka kufananisha na tu nchi twenye watu wachache kama Portugal katika wingi wa masikini serious ?
Nchi kufikia kuitwa developed maana yake imefikisha standards fulani kwa idadi kubwa ya raia.

Watu milioni 200 ni zaidi ya 14% ya population ya China.

That is significant enough.
 
Na wewe its weak argument because it is a "VoA said so" argument, hapo tunaenda sawa.
Hapana, VOA article ina source kibao. Wewe umesema tu "Trump was a big shot, therefire he knows more than you and don't argue"

Kwa sisi watu wa New York tunaomjua Trump, Trump ni tapeli tu.

So, weka hoja nyingine, si Trump.
 
Ushawahi sikia masikini akipata matako Julia .....,

Wao wanajijua sio masikini ndo maana hawataki kuitwa developed country, ila marekani na ulaya wanawalazimisha wawe categorised to developed country.

As a country kuwa developed country ni disadvantage kuliko kuwa developing country.

Wanajua mchezo ndo maana wametulia, ila ukifika uchina na ulaya ndo utajua Nani no developed na Nani no developing
 
Hii ni siasa, huu si uchumi.
US gov haikuamka asubuhi ikakurupuka kutaka kuiweka China ni developed, kuna wataalamu wa uchumi hapo hapo US walithibitisha hilo na hawa kukurupuka na walikuwa na sababu na hoja kwa nini wanataka China iwe developed.

Mi nahisi unabishana na US gov ambapo kuna watu wamesoma uchumi kwenye hoja husimami.
 
Ukishasema US governement unaongea politics si uchumi.
 
Hapana, VOA article ina source kibao. Wewe umesema tu "Trump was a big shot, therefire he knows more than you and don't argue"

Kwa sisi watu wa New York tunaomjua Trump, Trump ni tapeli tu.

So, weka hoja nyingine, si Trump.
Aisee mnyang'anyeni huyu jamaa simu asije post mambo ya ajabu.

Eeeh, Trump tapeli, astaghfirullah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…