nakuunga mkono mia kwa mia bora mzungu kuliko mchina huyo mrusi tumwache tu ni bahili yeye huchangia vifaa vya kijeshi kwenye vita,ila mchina atatengeneza urafiki wa kinafiki atakupa uprofesa wa heshima ila anakuibia live mchana kweupe ,bora mzungu anakuibia kimahesabu wote mnafaidikaKamanda China na Russia za leo sio wale wa 1970s wamebadilika ,baada ya kufa kwa ukoministi siku hizi wamebadilka wamekuwa wezi ,waongo na wanafanya lolote kwa maslahi yao! Hivi unafikiri DK KIKWETE ALIPOKELEWA CHINA KAMA SHUJAA BUREBURE ! AFADHALI MZUNGU ANA HURUMA KIDOGO WACHINA NA WARUSI HAWAFAI ! JIBU LAKAO:WANACHANGIA BAJETI YETU KWA NJA AMABAZO NI SHETANI ,MUNGU NA VIONGOZI WA CCM NDIO WANAOJUA!
Je China na Russia zinachangia budget ya Tanzania?
Mbona sijasikia Russia na China zimesitisha misaada kwa sababu ya Ufisadi wa ESCROW??
mzungu akikusaidia ujua ameshapata faida juu yako
mchina, mrusi akikusaidia ujue ameshakuingilia kinyume na maumbile, ameshapata faida, ameshakuelekeza kwenye kitanda cha kifo cha milele.
mchina ni rafiki wetu kwa mujibu wa ccm
ila ndiye aliyejaza bidhaa feki nna ndie ameharibu dada zetu,utakuta tako moja kubwa lingene dogo ujue ni mchina huyo..
_umeshawahi kusikia kiongozi wa kiafirika kwenda kutibiwa uchina?
Tueleze wewe unawazaje? Kama umesema watanzania wote, je wewe si mtanzania?Naona watanzania wote tunawaza ki-matonyamatonya tu.
mchina ni rafiki wetu kwa mujibu wa ccm
ila ndiye aliyejaza bidhaa feki nna ndie ameharibu dada zetu,utakuta tako moja kubwa lingene dogo ujue ni mchina huyo..
_umeshawahi kusikia kiongozi wa kiafirika kwenda kutibiwa uchina?
Warusi na Wachina ni wabaguzi sana na ndio maana zile nchi hazina Waafrika weusi. Kiujumla wale hawana msaada hata ikitokea tuvamie na nchi nyingine hawatusaidii na ndio wanalea utawala wa kiimla Africa.