China mbioni kuchukua uendeshaji wa reli ya TAZARA

Sasa kwa nini ulitaka Uhuru kutoka kwa Wakoloni? Maana tulitaka kupata Uhuru ili tufanye mambo wenyewe, kwa hiyo unakubali kuwa waliopigania Uhuru walikuwa limbukeni? Maana kila kitu sasa hivi ni wageni; Shule nzuri, hospitali nzuri, bandari, kila kitu !!
Timing haikuwa sawa ,harafu hawakupigania Bali walipewa ushindi wa mezani baada ya boss Wetu Kushindwa kwenye uchumi hangeweza kusimamia makoloni yote.

Unakabidhi Nchi watu wamejaa ujinga unategemea nini?
 
CHADEMA wameongoza nchi mwaka gani?
Tufike mahali tujivunie utawala bora na maendeleo ya nchi na wananchi wake.Kweli wewe mkuu unawapongeza watawala kwa kua na ofisi nzuri,ambazo zinatumika kusainia mikataba tata baada ya kupewa nchi miaka zaidi ya 60 iliyopita?
Ukiitwa uongee mafanikio ya serikali yetu,toka tupate uhuru,utasema serikali ya chama flani imeweza kuje ga ofisi?
Sorry mkuu,kama ntakua nimekukwaza,ila naomba tuangalie vitu,kwa mawanda mapana.
Mikataba tata haihusiani na ofisi kuwa nzuri au mbaya.

Tufanye Chadema hawajawahi ongoza popote japo najua wameongoza Halmashauri kibao na hawakuna Cha maana Wakifanya

Sasa nikuulize wewe umewahi wasikia Chadema wakija na Mpango mbadala wa Yale wanayodai ccm imeshindwa?

Tofauti na ACT sijawahi sikia Mpango wa Chadema zaidi ya ulalamishi,kuponda,kutukana,kutoa mifano ya Nchi za Asia na kulaumu.

Sasa watu wa hivi ambao wao kikubwa ni kushika madaraka watakuwa na faida gani? Si Bora Kuendelea na zimwi likujualo?
 
Wamechelewa na ndege wabinafsishe maana hakuna shirika la serikali linaloongozwa Kwa faida NI asara tu
Ni sahihi kabisa.Tukichukua Kodi zinazoenda kwenye haya mashirika yanayoleta hasara vs Huduma waliyotia tukaiweka kwenye pesa utaona hakuna faida ya kuwa na haya mashirika ni hasara tuu.

Sio Kila kitu lazima tuwe nacho hata kama hakitusaidii.

Ona wengine kina Dart/Mwendokasi Hawa
 
Nilipata bahati ya kusafiri na reli hii.
Ni miongoni mwa reli nzuri na kubwa kwa ya kimataifa upande huu wa SADC ukiachana na Rovoos ya afrika kusini.

Nadhani ni wakati sahihi wa Tazara kupanuliwa na iwe angalau inafika Lusaka, na pia miundombinu iliyopo sasa iboreshwe iendene na kasi ya karne ya ishirini na moja.
Tazara ni njia kuu ya utalii pamoja na biashara baina ya nchi hizi mbili na si vibaya kama itaongeza njia zaidi huko mbeleni ikafika mpaka Livingstone na Ndola kwa sababu uwezo uo upo baina ya hizi serekali mbili.
Iunganishe na Congo
 
China owns copper mines in Zambia, Africa’s second-largest producer of the strategic metal, and may be looking to export copper shipments more efficiently via TAZARA through the Dar es Salaam port by operating the railway line itself

👉 During Tanzanian President Samia Suluhu Hassan's current state visit to Zambia, the future of TAZARA will be high on the agenda at bilateral talks with her host, President Hakainde Hichilema

👉 The two leaders could make a decision on China's request for a 20-year concession to operate TAZARA

Twenty year ni ulaghai mkubwa kwa railway, kwanza kuanza kuwa efficiency tu na kutoa faida itaanza baada ya ukarabati, na uwekezaji kwenye motive power na rolling-stock; acha rail-road na infrastructure zake kama bridges na tunnels, wanawajua nyie, wakisema miaka 20 mtakubali, wakijua kabisa ikifika miaka 20 mtawahitaji tu. Low IQ, very regrettable
 
My Take
Kuliko kuendelea kuwa na reli inayoleta hasara,Tanzania na Zambia zimpe Mchina.

Naunga mkono ubinafsishaji wa Tazara na Mashirika mengine yote yanayotupa hasara au laa yafutwe kabisa.

===========

CHINA WANTS TO TAKE OVER THE OPERATIONS OF TAZARA

China has quietly been in talks with the governments of Tanzania and Zambia over the past few years on the possibility of operating the underperforming Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA)

The Chinese-built railway connecting the two neighbouring countries was constructed in the 1970s, but has largely been operating significantly below capacity.

China owns copper mines in Zambia, Africa’s second-largest producer of the strategic metal, and may be looking to export copper shipments more efficiently via TAZARA through the Dar es Salaam port by operating the railway line itself

Although Tanzania and Zambia hold joint and equal shares in TAZARA, under the governance structure the MD comes from Zambia and the Deputy MD is appointed from Tanzania

During Tanzanian President Samia Suluhu Hassan's current state visit to Zambia, the future of TAZARA will be high on the agenda at bilateral talks with her host, President Hakainde Hichilema

The two leaders could make a decision on China's request for a 20-year concession to operate TAZARA

Tanzania Business Insight
wampe ila kwa masharti kwamba aweke iwe SGR. la sivyo, wamfukuzie mbali tu na wanyang'anye kabisa.
 
Timing haikuwa sawa ,harafu hawakupigania Bali walipewa ushindi wa mezani baada ya boss Wetu Kushindwa kwenye uchumi hangeweza kusimamia makoloni yote.

Unakabidhi Nchi watu wamejaa ujinga unategemea nini?
Inawezekana kweli ni TIMING, sasa kwa nini ni Africa tu? Yaani sub-Saharan Africa? Angalia ASIA kote atleast wapo vizuri, Thailand, Singapore, Indonesia, Malaysia Timing hiyo hiyo na wakati ule ule. Baba wa Taifa wa Singapore alikuwa Classmate wa Baba wa Taifa Tanzania.

Duniani ni watu Weusi tu, hata Eastern hemisphere ni watu Weusi, Haiti ni nchi masikini na haiwezi kujiendesha, Timing ni ile ile!!
 
Nilipata bahati ya kusafiri na reli hii.
Ni miongoni mwa reli nzuri na kubwa kwa ya kimataifa upande huu wa SADC ukiachana na Rovoos ya afrika kusini.

Nadhani ni wakati sahihi wa Tazara kupanuliwa na iwe angalau inafika Lusaka, na pia miundombinu iliyopo sasa iboreshwe iendene na kasi ya karne ya ishirini na moja.
Tazara ni njia kuu ya utalii pamoja na biashara baina ya nchi hizi mbili na si vibaya kama itaongeza njia zaidi hu ko mbeleni ikafika mpaka Livingstone na Ndola kwa sababu uwezo uo upo baina ya hizi serekali mbili.
Waifumue tazara yote na wajenge sgr!!!itasaidia sana kukuza biashara kati ya tanzania na South Africa development country
 
My Take
Kuliko kuendelea kuwa na reli inayoleta hasara,Tanzania na Zambia zimpe Mchina.

Naunga mkono ubinafsishaji wa Tazara na Mashirika mengine yote yanayotupa hasara au laa yafutwe kabisa.

===========

CHINA WANTS TO TAKE OVER THE OPERATIONS OF TAZARA

China has quietly been in talks with the governments of Tanzania and Zambia over the past few years on the possibility of operating the underperforming Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA)

The Chinese-built railway connecting the two neighbouring countries was constructed in the 1970s, but has largely been operating significantly below capacity.

China owns copper mines in Zambia, Africa’s second-largest producer of the strategic metal, and may be looking to export copper shipments more efficiently via TAZARA through the Dar es Salaam port by operating the railway line itself

Although Tanzania and Zambia hold joint and equal shares in TAZARA, under the governance structure the MD comes from Zambia and the Deputy MD is appointed from Tanzania

During Tanzanian President Samia Suluhu Hassan's current state visit to Zambia, the future of TAZARA will be high on the agenda at bilateral talks with her host, President Hakainde Hichilema

The two leaders could make a decision on China's request for a 20-year concession to operate TAZARA

Tanzania Business Insight
Hii safi sana. Kweli ipo mbioni siku nyingi. MoU ya ukarabati mkubwa kwa upande wa Tanzania, mama alishamalizana na China.

Mama Samia hana ngoja kesho ngoja kesho, ukititimba kwake mwiko.
 
Hii safi sana. Kwrli I po mbioni siku nyingi. MoU ya ukarabati mkubwa kwa upande wa Tanzania, mama alishamalizana na China.

Mama Samia hana ngoja kesho ngoja kesho, ukititimba kwake mwiko.
Rafiki yangu Faiza, wanakarabati kwenye nini hasa specifically? ningefurahi kama wataibadilishe iwe SGR ya umeme, tuwe tunaenda zambia kwa siku moja toka DSM badala ya siku tatu.
 
Back
Top Bottom