China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

Sijaona kufuru, imani yako inakuweka nyuma ya maendeleo ya science.

Hakika kabisa. Mungu ametupatia akili ili zitusaidie kuondokana na kero za maisha, badala yake akili zetu tunazotumia kama simu (kupokea na kuandika sms, kupiga na kupokea, na kutumiana vimeseji vya kusifiana kwenye facebook au whatsapp). Bado matumizi yetu ya akili yako chini mno. Mungu ametuumba ili tuutawale ulimwengu na vilivyomo.
 
Mbona pesa ndogo Sana kwa project kama hiyo nilitegemea kuwa Zaid ya matrilion
soma vizur hyo siyo pesa ya project cost.....

hyo ni pesa itakayookolewa mwezi ukianza kufanya kazi....

hicho ni kiasi kilichokuwa kinatumika kwenye gharama za umeme (mataa ya barabarani)
 
Hakika kabisa. Mungu ametupatia akili ili zitusaidie kuondokana na kero za maisha, badala yake akili zetu tunazotumia kama simu (kupokea na kuandika sms, kupiga na kupokea, na kutumiana vimeseji vya kusifiana kwenye facebook au whatsapp). Bado matumizi yetu ya akili yako chini mno. Mungu ametuumba ili tuutawale ulimwengu na vilivyomo.
Uko sahihi.
 
Unajua ni kwa nini?
Na kama unajua ni kwa nini umefanya nini ili kuondokana na hiyo hali?
 
Hizi ni dalili za mwisho wa Dunia, mwisho watadisturb forces zinazofanya sayari kuzunguka katika mihimili yake na hivyo kugongana hovyo.
Mkuu umewaza nn, haya mawazo yako yasifikie fikra maake ajali ya hapo itakuwa haina mfano, dunia nzima itafunikwa na maji.
 
Natamani kujua kipindi cha yale masaa 12 ambayo jua litakuwa limechomoza je Mwanga hautazidi sana au joto halito ongezeka??
Kwa mjibu wa bwana wu anasema ukali wa mwanga unaweza kurekebishwa na usahihi kupatikana hivyo wataweza kuuseti mwanga ili kuweza kuendana na mazingira ya kawaida bila kuadhili viumbe hai.
 
Back
Top Bottom