China kuzindua mwezi wa bandia kumulika mitaani usiku

CHINA KUJITENGENEZEA MWEZI WAKE
IFIKAPO 2020

Gazeti la Independent limeripoti taarifa ya kushitua kidogo baada ya jiji la Chengdu nchini China kutoa taarifa ya kujitengenezea mwezi wake ( moon) ambao utaangaza ji lote kama mbadala wa taa zilizofungwa katika jiji hilo lilipo kusini magharibi mwa China.

Watalifunga tufe ama gimba kubwa angani usawa wa kilomita 10 mpaka 15 kutoka uso wa dunia ili liwe na uwezo wa
kuangaza mara nane zaidi ya mwezi wa asili wa mwenyezi Mungu.

Wanasayansi mbalimbali duniani hususani wa masuala ya Anga
bado wapo katika kitendawili kwa China kufanikisha mpaka huo Chanzo kikuu cha mwanga cha tufe hilo kubwa kitakuwa ni
miyonzi ya jua (Solar energy ) na watalifanyia utaratibu wa kutembea taratibu pasipo kuvuka anga la jiji hilo likiwa na uwezo wa kumulika eneo la kilomita 80 mpaka 100.

Astronauts wengi wamehoji endapo China watafanikiwa na mpango huo kutokana na umbali huo kugusa anga la kimataifa ambalo linatakiwa kuwa huru' sasa ufungaji wa artificial moon inaweza kuwa changamoto mpya katika Jumuiya ya kimataifa katika Ulimwengu wa Sayansi za anga.

Serikali ya jiji hilo tayari wametoa taarifa za awali kwamba, utengenezaji wa mwezi huo ulianza takribani miaka saba!
iliyopita na majaribio ya awali yamefanyika na kuonesha Chanzo kikuu cha mwanga cha tufe hilo kubwa kitakuwa ni miyonzi ya jua (Solar energy ) na watalifanyia utaratibu wa kutembea taratibu pasipo kuvuka anga la jiji hilo likiwa na uwezo wa kumulika eneo la kilomita 80 mpaka 100.

Astronauts wengi wamehoji endapo China watafanikiwa na mpango huo kutokana na umbali huo kugusa anga la kimataifa ambalo linatakiwa kuwa' huru' sasa ufungaji wa artificial moon
inaweza kuwa changamoto mpya katika Jumuiya ya kimataifa katika Ulimwengu wa Sayansi za anga.

Serikali ya jiji hilo tayari wametoa taarifa za awali kwamba, utengenezaji wa mwezi huo ulianza takribani miaka saba! iliyopita na majaribio ya awali yamefanyika na kuonesha mafanikio kwa zaidi ya asilimia 80.

Hatua wanayofanya sasa ni utafiti wa rangi ambayo inaweza kuakisi mwanga kutoka katika jua kama mwezi asilia licha ya kuufungia mabaya yenye vibao vya solar kwa ajili ya kuchukua
nishati katika jua.
 
Uzi waweza kuwa mzuri sema ulivyoanza tu nikakereka kuisoma.
Zama za mwisho how
Waafrika tumebaki kumtukuza mungu tu wala hatuwazi, wenzetu wanavumbua na hawaombi wala kusali kudaadeki sasa sijui mungu ni wetu sote au ni wa sisi tusiiojua hata kutengeneza stick za kuchokonolea meno
Hata kondomu tunaletewa na hao wasio na mungu.

Kwankifupi unataka kusema kuvumbua ni kumkosea mungu
 
Hawatengenezi mwezi, wanachojaribu kufanya ni kifaa chenye mfano wa mwezi. Hongera zao kwa utafiti, uvumbuzi na maendeleo ya teknolojia.
 
Uzi waweza kuwa mzuri sema ulivyoanza tu nikakereka kuisoma.
Zama za mwisho how
Waafrika tumebaki kumtukuza mungu tu wala hatuwazi, wenzetu wanavumbua na hawaombi wala kusali kudaadeki sasa sijui mungu ni wetu sote au ni wa sisi tusiiojua hata kutengeneza stick za kuchokonolea meno
Hata kondomu tunaletewa na hao wasio na mungu.

Kwankifupi unataka kusema kuvumbua ni kumkosea mungu
Waafrika wenye mawazo finyu wanaona Mchina anakufuru kwa kutengeneza artificial moon
 
Back
Top Bottom