Wewe mwenyewe umesema mpaka1995 alikuwa wazili wa ardhi bado tena 2000akawa wazili wa maji mhuuuu!!! ����������hiv hujiuliz kama alikuwa anafanya vizur kama alifanya vibaya wala asingerud madalakani, rudi kajipange tena upya, lowasa ndo kipenz cha weng, kwa hiyo unatushauli tuchguwe ccm? Au tupe bas ushauli tujuwe..