Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,698
- 13,190
Nani asiye na kashfa? Ccm ndio ipo safi? Tuangalie upande mwingine wa shillingi. Bora zimwi ulijualo kuliko.......Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa
Nani asiye na kashfa? Ccm ndio ipo safi? Tuangalie upande mwingine wa shillingi. Bora zimwi ulijualo kuliko.......Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa
magufuli anafaa siyo fisadi na hana marafiki mafisadi
kama china walikuwa hawacheleweshi mbona lowasa hajanyongwa wakati sheria hizo zito tanzania ya kunyonga mpaka kufa
Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa
We boya kweli na laiti Kama tungekua China ccm wangenyongwa wote kingebaki chama bila viongozi
Ni nani asiye na kashfa? kujigawia nyumba za Serikali kwa kuwapa ndugu, mahawala na watoto wadogo sio kashfa kwako? kwa mtindo huo hakuna aliye na sifa za kugombea hapo!Nashangaa kwa nn anagombea wakat ana kashfa
Lazima ahukumiwe na kufungwa baada ya Dr Magufuli kuwa rais. Huyo ni jambazi, mwizi, fisadi, muomngo lagai, mtoa rushwa kanunua chadema na anataka kumuua dr slaa
Nimekuja mbio mbio nikajuwa unaongea mambo ya gesi kwenda
bure china.