China isingemchelewesha Lowassa

China isingemchelewesha Lowassa

Kama kweli China wanaichukia rushwa, ni kwanini walikubali rushwa ya gesi kutoka kwa Mkulu baada ya his son kukamatwa Live na Poda
 
Kama ungepewa dakika Moja utumie akiri yako kufikili basi ungeichukia CCM toka hapo Walla hakuna sababu ya kutukanana
 
Attachments

  • 1444243511487.jpg
    1444243511487.jpg
    29.2 KB · Views: 172
mtoa mada jitafakari kwanza😱rodha ya mafisadi waliotajwa niwangapi?nakama tuhuma2 inatosha kunyonga je kikwete angepona?orodha iliyoongezeka mpaka sasa hivi magufuli siangesha nyongwa? ninani msafi ccm?hata hiyo mahakama ya magufuli inajeuri kwa "nyoka wa makengeza,,vya mboga,,wapumbavu na malofa,mwizi1,,tumbili " na wengi utitiri?busara ya mbowe:TUPENI NCHI HATUNA NIA YA KULIPIZA KISASI BALI MARIDHIANO
 
kwa hoja yako nzuri ya kama ingekuwa china lowasa angeshtakiwa , ndio mana tunataka kuitoa ccm kwakushindwa kumshtaki huyo lowasa, au walau hata kumfungulia mashtaka kama babu seya na watuhumiwa wengine , ,huuu upuuzi sikutegemea ungeandikwa na gazeti nililokuwa nikilipenda sana. BASI JIBU LANGU NDIO HILO KWAKUWA SEREKALI YA CCM IMESHINDWA KUMSHTAKI EL BASI SITAICHAGUA KAMWE
 
kwa nchi za wenzetu angenyongwa mwakyembe alafu sita kwa nini walificha ukweli? na kama kweli lowassa ni fisadi kwa nini asipelekwe mahakamani? kwa maneno yako ccm inalea mafisadi na kwa hiyo tusiichague maana tukiichagua itatuongezea mafisadi bora tuipumzimshe mwaka huu

Tatzo kula mnalojadili Lumumba mda huo huo linavuja. JMP anasema kuna wengne hapa mchana n ccm na usiku UKAWA. Ulicho kiwasilisha tayari hadhila inajua, na yupo mwingine leo usiku star tv akifanya kazi kama yako. Safari hii itabidi vikao muwe mnaenda kufanyia mwezin ili isivuje
 
Kama ndiyo hivyo CCM iondoke tu maana wamemlea wenyewe mpaka hapo alipo.

Watuambie mabaya ya Watu wao wakiwa CCM siyo wasubirie wamehama.

Lowasa alisemwa na kina nape hadharani nani asiyejua,na nanyinyi leo ndio mnasema watoto wadogo walikua wakitumwa wamdharirishe Lowasa,yani leo lowasa kuitwa mwizi mnaona anadharirishwa na watoto wa juzi
 
kwa nchi za wenzetu angenyongwa mwakyembe alafu sita kwa nini walificha ukweli? na kama kweli lowassa ni fisadi kwa nini asipelekwe mahakamani? kwa maneno yako ccm inalea mafisadi na kwa hiyo tusiichague maana tukiichagua itatuongezea mafisadi bora tuipumzimshe mwaka huu

hukichagui chama kinacholea mafisadi ila unachagua chama kinachokaribisha na kuwapa uraisi mafisafi,
kweli watz aliyetoroga kafariki kitambooo
 
Nimekuja mbio mbio nikajuwa unaongea mambo ya gesi kwenda
bure china.

Aliyekwambia kwamba gesi imeenda bure China ni nani? Mbona mnaropoka mambo ya kuzusha tu je mnapata faida gani? Hata kama humpendi Magufuli na unamtaka lowassa usizushe uwongo ili kuhalalisha matakwa yako ya kidemokrasia ni haki yako kumchaguwa unayemtaka.
 
Kama kweli China wanaichukia rushwa, ni kwanini walikubali rushwa ya gesi kutoka kwa Mkulu baada ya his son kukamatwa Live na Poda

Hizi siasa za maji taka peleka chooni. Vijana hamjielewi kabisa
 
Kwani tume haikuliona hilo,Magufuri aliuza nyumba za serikali kwa bei ya nyanya,nyingine akachukua yeye,nyingine akampa kimada wake,sio kashfa?na ole wake Lowasa akiingia Ikulu tunawanyanganya hizo nyumba!

Mkuu unaweza kututajia jina la kimada wa magufuli aliyemuhonga nyumba ya serikali? Hivi magufuli ana mandate ipi ya kuamuwa kuuza nyumba bila uamuzi wa baraza la mawaziri? Ukinijibu haya maswali nitampigia Kura lowassa
 
Tunaanza na mkulu, kwa nini alimlea fisadi kiasi hicho jamani? Yaani ameshindwa kumnyonga hadi leo?!!!!!
Hivi tanzania wakisema wananyonga mafisadi si tutanyongwa wote? Kazi ipo kwa mnyongaji sasa yeye sijui atanyongwa na nani? Maana ye ndo atakuwa bonge la lifisadi.

Tungetumia hiyo sytem ya china Lowasa kweli angenyongwa lakini je nani angepona?! Kikwete? Pinda? Muhongo? Tibaijuka? Chenge? Ngereja? Nchimbi? Nape? Mramba? Yona? Mwandishi amefail kusema kuwa nchii hii isingebaki na serikali kama tungetumia hiyo sytem ya china......poor analysis
 
Na wewe una poor analysis. Wote uliowataja hawagombei urais. EL anagombea urais. Point ni kwamba sawa na uliowataja hapo juu hawafai kuwa marais wa nchi hii sababu ni fisadi. Ushkaji ndi umetufikisha hapa. Mode ya utawala wa sasa ndo mode ya EL. Unasema mabadiliko. Are u serious? Zaidi ni ushabiki na matumaini ya kiambulia vyeo vya kishkaji akiingia ikulu. Zaidi ya hapo EL hafai kuwa rais.
 
Aliyenyongwa china mwezi wa pili mwaka huu Liu Han alikuwa anagombea uraisi?! Au operation fox hunt ilikuwa ni dhidi ya wagombea uraisi?" ebu rejea original post afu ndio urudi hapa kubishana na mimi?! Sibishani na watu wenye ubonho mwepesi kama manyoya ya kanga!
 
Adith yako inatufundisha nni?????

Dawa ya moto ni moto ukimchagua fisadi atakomesha ufisadi maana hawataweza kumpiga chenga kona zote anazifahamu. Ukimchagua mtu asiyejua namna ufisadi unavyoendeshwa hataweza kukomesha ufisadi watamzidi ujanja, huo ndio ukweli ndio maana mkimchagua mheshimiwa Lowasa ufisadi kwa heri, na sio lazima useme mapema kwamba utawashughulikia mafisadi wanaweza kukuangusha wana nguvu sana wale, ni kuwanyatia tu ukishaingia magogoni ndio unatangaza vita dhidi ya mafisadi maana unakuwa na uhakika na unachosema.
 
Yaani eti kwa sababu lowasa fisadi nirudi kuiamini na kuichagua ccm iliyomlea na ufisadi wake? Ilojaa ufisadi kuenzia kwa balozi, mwenyekiti wa mtaa, diwani , mbunge, mawaziri, hadi aliekuwa waziri mkuu wao lowasa, na nani yule sijui, halafu bado nimchague magufuli? Kama tunataka mtu msafi basi bora tumchague Hashimu rungwe, maaana ye sijawahi kusikia ufisadi wake.

I dont care unamchagua nani, ila EL hafai hata kidogo, na ahadi zake hewa, wabongo tunapenda kuahidiwa kama watoto wadogo hatufikiriii reality, EL anafaa kwenda segerea tu sio ikulu
 
Nimesema serikali ya magufuli itakuwa ni serikali ya viwanda, sasa je hivyo viwanda vitaendeshwa na nishati gani ambapo umeme wenyewe wa manati
 
Back
Top Bottom