Ninyi ma Ccm mnamatatizo sana dola ni yakwenu mbona na ninyi mmekuwa watu wa kulalamika juu ya Lowassa badala ya kuchukua hatua juu yake/Nina jibu juu yenu ninyi ni wanafiki munajitaidi kumhalibia Edo ili et asiweze kuwa Rais wa nchi hii huko ni kubaka demokrasia.Tuhuma aziwezi zikasababisha mtz halali asigombee urais, Kwa nini mnang"ang"ania kutuhumu na msiende kumshtaki mahakamani ili angelikuwa tayari kashakabiliwa na kesi na kama hukumu ingekuwa imetoka juu yake na ingelikuwa imeshaelewekah hukumu ingembana?
Sasa niny mnasambaza unafiki juu ya mzee wa watu. mm binafs mliniaminisha juu ya tuhuma mlizo m bambikia mzee huyu ila kwa jinsi mambo wanavyo yafanya ma ccm sasa ivi juu ya mzee huyu sasa nimerudi kumuamini mzee huyu ma ccm kupitia H Mwakyembe ninyi ni wanafiki sana amfai hata kidogo. TATIZO NI UWAZIRI MKUU. kamati ya mwakyembe kwa nini haikumuhoji Lowassa?.
Mimi ninaamini hii nchi ni ya wa tz wote na Rais sio lazima atoke ccm.ccm hakuna ambae co mwizi watu wamingia maskini leo hii matajili wa kupindukia tunaona na barthday kila mwaka hapo hapo sio sehemu ya barthday hapo ni sehemu ya kufanya kazi kuhakikisha usawa katika maisha ya wa tz unakuwepo katka maji, afya, elimu, ulinzi,nk.
MA CCM ACHENI UNAFIKI