Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Hilo bus la Uchina ni noma, litakuwa linapita juu ya magari mengine, yaani yenyewe (magari) yakiwa kwenye foleni lenyewe linapita tu juu!
Maoni!
Ni kama vile DART yetu tu sema sisi tumefanya gharama nafuu zaidi, isitoshe sisi tuna nafasi ya kutosha siyo kama Uchina!
Maoni!
Ni kama vile DART yetu tu sema sisi tumefanya gharama nafuu zaidi, isitoshe sisi tuna nafasi ya kutosha siyo kama Uchina!