Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Hakuna kubahatisha ndiyo maana nikaainisha kabisa.

Kwanza umeleewa nilicho kwambia kuhusu namna ya kurejelea mambo ?

Na elewa na ndiyo maana kuna namna kadha wa kadha za kurejea.

Rejea pale kwa mara ya kwanza nilipo kuquote katika uzi huu.
Weka namba ya post.

Hujui kusoma namba?
 
Weka namba ya post.

Hujui kusoma namba?
Naona hutaki kufata adabu za mjadala.

Naanzia hapa mwanzo ulikana juu ya uwepo wa uchawi. Unakubali hili au unakataa ? Naweia kiporo nukta hii.

Naanza upya kukuthibitisha ya kuwa uchawi upo,kisha nitakupa nafasi uthibitishe ya kuwa uchawi haupo. Nakuoa sharti moja kuu "Nikikuuliza swali langu lolote ujibu".

Uchawi ni nini ?

Uchawi ni kubadilisha jambo mbali na uhakika wake, nako ni kuwadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona kuwa ni la kweli.

Pia,husemwa katika maana za Uchawi ni kila jambo lililo fichika sababu zake, linalo tokeza kwa sababu zisizo za kawaida na ndani yake mna hadaa (ghishi/uongo).

Kwanza soma kwa umakini maana hii ya Uchawi,kabla sijaendelea uliza swali ili tuweke kumbukumbu vizuri.
 
  • Allah anasema wale ambao hawaamini amewapambia vitendeo vyao vibaya , yani wavione vizuri na wanababaika humo
    • 27:4....Sisi tumewapambia vitendo vyao kwa kuwaumbia matamanio ndani yake. Kwa hivyo wao wanababaika humo katika upotovu wao
  • Allah anasema tena shetani anawapambia vitendo vibaya wavione vizuri
    • 6: 43..... Bali zikaendelea nyoyo zao katika ugumu wao, na Shetani akawapambia vile vitendo vyao vibaya, (wakaviona vizuri).
27:4
Screenshot_20211208-182303.jpg
 
6:43
Hata turudi Sasa .hizo tafsiri zako umetoa wapi?
  • Allah anasema wale ambao hawaamini amewapambia vitendeo vyao vibaya , yani wavione vizuri na wanababaika humo
    • 27:4....Sisi tumewapambia vitendo vyao kwa kuwaumbia matamanio ndani yake. Kwa hivyo wao wanababaika humo katika upotovu wao
  • Allah anasema tena shetani anawapambia vitendo vibaya wavione vizuri
    • 6: 43..... Bali zikaendelea nyoyo zao katika ugumu wao, na Shetani akawapambia vile vitendo vyao vibaya, (wakaviona vizuri).
Screenshot_20211208-182430.jpg
 
Weka verses sio ma picha , sijakuelwa unataka ku prove nini , ila Aya zote moja imesema Allah anasema anawapambia mabaya wanayofanya na nyingine shetani anawapambia mabaya wanayofanya

Yani wote Allah na shetani wanawapambia mbaya wanayofanya
tatizo una KOPI.
Yaaani hata Quran inavyosomwa haujui.
Ndo Max shimba anavyokufundisha?
 
tatizo una KOPI.
Yaaani hata Quran inavyosomwa haujui.
Ndo Max shimba anavyokufundisha?
Wewe umewek tafsir Yako na zote zinasema Allah anawapambia dhambi wazione tamu na nyingine inasema shetani anawapambia dhambi wazione tamu

Issue sio ku copy issue ni ujumbe je ni kweli ,jikite kujibu kama izo verses zinasema hivyo
 
Ungesoma hizo Aya nilizoweka ungeelewa.

Ila kwa kuwa umekopi ndo maana unapata tabu.
 
Naona hutaki kufata adabu za mjadala.

Naanzia hapa mwanzo ulikana juu ya uwepo wa uchawi. Unakubali hili au unakataa ? Naweia kiporo nukta hii.

Naanza upya kukuthibitisha ya kuwa uchawi upo,kisha nitakupa nafasi uthibitishe ya kuwa uchawi haupo. Nakuoa sharti moja kuu "Nikikuuliza swali langu lolote ujibu".

Uchawi ni nini ?

Uchawi ni kubadilisha jambo mbali na uhakika wake, nako ni kuwadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona kuwa ni la kweli.

Pia,husemwa katika maana za Uchawi ni kila jambo lililo fichika sababu zake, linalo tokeza kwa sababu zisizo za kawaida na ndani yake mna hadaa (ghishi/uongo).

Kwanza soma kwa umakini maana hii ya Uchawi,kabla sijaendelea uliza swali ili tuweke kumbukumbu vizuri.
Umeandika kuhusu uchawi kwamba "...nako ni kuwadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona kuwa ni la kweli."

Nikijifunza mbinu za kupanga karata katika mchezo wa karata tatu, nikawadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona ni la kweli katika mchezo wa karata tatu, huo ni uchawi?
 
Umetumia kanuni gani kusema hili ? Atatakiwa yeye athibitishe pindi atakapo ombwa ithibati kabla ya muombaji ithibati hajakanusha.

Elimu ya mijadala mmejifunzia wapi ?

Sasa naposema uchawi upo wewe ukasema haupo. Nani anapaswa kuthibitisha kwanza ?

Nikisema uchawi upo. Kisha ukasema thibitisha,hapo nitapswa mimi kuthibitisha. Sasa mfano mwenzako haujui uchawi hata kwa kiarifisho chake ajabu anaukanusha. Sasa hii akili au matope ?

Sasa nani alikwambia kila chenye ithibati kinapimwa na hatua za kisayansi ? Sayansi dhaifu sana hapa tunaongelea uhalisia siyo ngano na visasili vya Sayansi. Kanuni za mjadala zinataka uhalisia.
Kanuni ya burden of proof ndio inasema hivyo na inakubalika katika misingi ya logic

Unaposema uchawi upo, kumbuka hizo ni claims sio uthibitisho, sasa nikuulize unataka ukubalike kwa madai pasipo uthibitisho?

Mtu anayesema uchawi haupo haitaji uthibitisho kujua uchawi haupo anahitaji reasoning
 
Mbora wa viumbe ambae hajakamilika mdomoni , hana meno ya mbele huo ndio ubora wa binadamu kwa alllaha
we kataa kubali lkn ukweli ndo huo

ukitka kuongea na mm jibu yale maswali mawili tu
 
Nikijifunza mbinu za kupanga karata katika mchezo wa karata tatu, nikawadhihirishia watu jambo lisilo la kweli wakaliona ni la kweli katika mchezo wa karata tatu, huo ni uchawi?
Naam ni katika uchawi. Na uchawi watu husomea.
 
Kanuni ya burden of proof ndio inasema hivyo na inakubalika katika misingi ya logic
Logic si katika Sayansi kama ulivyo gusia hapo juu. Sababu logic ilikuwepo kabla ya kuwepo Sayansi bali kabla ya kuwepo hizo hizo "Scientific Precedures".

Msingi gani wa Logic una kubali hiyo proof ? Logic ya Wagiriki au kina nani ?
Unaposema uchawi upo, kumbuka hizo ni claims sio uthibitisho, sasa nikuulize unataka ukubalike kwa madai pasipo uthibitisho?
Nakukini kwa swali. Unaweza kukikataa kitu usichokijua ? Hili lijawezekana vipi ? Maana yake kawaida anaye pinga jambo huyo hulijua jambo hilo ndiyo maana analipinga. Ndiyo maana katika adabu za mijadala kaida hii ipo inayosema ya kuwa "Anaye kanusha huwa anatangulizwa kuthibitisha sababu huwa ana ziada ya elimu". Rejea kitabu "The etiquette of research and debate".

Yaani ukihoji pasi na kukanusha yule aliye sema anapaswa athibitishe ila unapokanusha wewe unaye kanusha ndiyo unatangulizwa uthibitishe.

Sasa shida yenu nyinyi mnakanusha mambo msiyo yajua ndiyo maana mnaptezea watu muda.
Mtu anayesema uchawi haupo haitaji uthibitisho kujua uchawi haupo anahitaji reasoning
Nimekuuliza swali unaweza vipi kukanusha jambo usilo lijua ?

Hili haliwezekani na hiki ndicho kichochoro cha wakana Mungu wote ambao hudhani ya kuwa jukumu la kuthibitisha jambo ni la upande wa wanao kiri na si upande wao wanao kanusha,hii huonyesha ya kuwa mnauwezo mdogo sana wa kufikiri.

Nikikuuliza uchawi ni nini huwezi kujibu lakini hapo hapo unasema haupo ukiombwa ushahidi huna. Huku ni kuikosea adabu elimu na watu wake.
 
27:4Kwa hakika wale wasioiamini akhera tumewapambia vitendo vyao,kwa hivyo wanatangatanga ovyo.

UFAFANUZI WANGU:
Kuna watu hawaamini kuwa Mungu yupo,lakini ni wazma wa afya,wanakula,wanalala vizuri.
Kwa mawazo yako wangedhani Mungu angewapa adhabu wakiwa hapa duniani.
Ndo Mungu anasema tumewapambia vitendo vyao hivyo wanatanga tanga.
Yaani wao kutokuamini kwao Mungu wanaona wako sahihi kumbe wanakosea.
Sasa kwa nini wewe usieleweshe ILI uondoe utata na tabu ya wanaosoma na Mimi , kwa nini unaacha upotoshaji upite kirahisi
Screenshot_20211208-182303.jpg
 
Ndo mana sipendi mijadala na ww mna ni mtupu kichwani na Ujinga umekujaa
Wewe unataka story za vijiweni wakati Mimi nipo makini , umeseme ni mbora , nimekuuliza ubora na ukamilifu wa binadamu ni kuto kuwa na meno yote ya mbele? Na alikuwa anaimbaje Koran bila meno?
“The Messenger of Allah (ﷺ) was wounded on the Day of Uhud. His molar was broken and his helmet was crushed on his head. Fatimah was washing the blood from him and ‘Ali was pouring water on him from a shield....Sunan Ibn Majah 3464
 
Back
Top Bottom