Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,644
- 106,778
Weka namba ya post.Hakuna kubahatisha ndiyo maana nikaainisha kabisa.
Kwanza umeleewa nilicho kwambia kuhusu namna ya kurejelea mambo ?
Na elewa na ndiyo maana kuna namna kadha wa kadha za kurejea.
Rejea pale kwa mara ya kwanza nilipo kuquote katika uzi huu.
Hujui kusoma namba?