Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,574
- 3,133
Naulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
Hivi zipo kweli nilisikia jamaa wameacha zalisha huko canada
Nahisi used zitakuwepo mbona ndio maana nikaulizaHivi zipo kweli nilisikia jamaa wameacha zalisha huko canada
Wakikujibu npmNaulizia ni wapi kwa dares salaam au kwa mkoa wa Iringa ni wapi naweza pata BlackBerry zile simu za kizamani. Ahsante
Hii comment niliitegemeaNgoja waje kukupa muongozo...
Mkuu simu zao huna? Na upo wapiMkishazipata, Spare kama vioo Mimi ninavyo vya kutosha vya Blackberry zote
We hujui matumizi ya simuNi za nini?
Kwa bei gani bossView attachment 2878114wakuu nimeipata hii huko Zanzibar ndio niliagizia
Used elfu arobainiKwa bei gani boss
Zenji zipo used kwani? Nipe connection nahitaji mojaUsed elfu arobaini
Kuna jamaa nilikutana nae twitter ndo nikajuana naeZenji zipo used kwani? Nipe connection nahitaji moja
Hapo ni kwa calls na sms mkuu. Internet pia ipoBlackBerry zenyewe unatumiaje maana Os yake haipo Tena.