Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

Hizo 54 ukiuza una 540,000 zilizobaki uza 5,000 kila moja
Hizi hesabu zako bado sijaona logic, kwamba 54 ukiuza unapata sh540,000 na zilizobaki 130 unauza sh650,000 jumla inakuwa sh. 1,190,000. hii faida basi ni nzuri kama kweli
 
Hizi hesabu zako bado sijaona logic, kwamba 54 ukiuza unapata sh540,000 na zilizobaki 130 unauza sh650,000 jumla inakuwa sh. 1,190,000. hii faida basi ni nzuri kama kweli
Hujaona logic kivipi!? Faida ni nyingi sana?

Hiyo pesa huipati kwa mara 1, unapouza rejareja hapo ni kidogo kidogo, km ukiwa na soko la uhakika, pesa ndio unaiona vizuri, ila mzunguruko mdogo, unachelewa kupiga mpunga hapo hapo ule na matumizi ya kila siku. Tofaouti na kuipata vuuup.
 
Jumamosi naanza kwenda nazo mnadani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…