Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals.

Karibuni

1618481830488.png
 
Hizo 54 ukiuza una 540,000 zilizobaki uza 5,000 kila moja
Hizi hesabu zako bado sijaona logic, kwamba 54 ukiuza unapata sh540,000 na zilizobaki 130 unauza sh650,000 jumla inakuwa sh. 1,190,000. hii faida basi ni nzuri kama kweli
 
Hujaona logic kivipi!? Faida ni nyingi sana?

Hiyo pesa huipati kwa mara 1, unapouza rejareja hapo ni kidogo kidogo, km ukiwa na soko la uhakika, pesa ndio unaiona vizuri, ila mzunguruko mdogo, unachelewa kupiga mpunga hapo hapo ule na matumizi ya kila siku. Tofaouti na kuipata vuuup.
 
Jumamosi naanza kwenda nazo mnadani
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom