Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,252
- Thread starter
- #61
Waokolewaji wako fit emotionally kuliko waokoaji
Ilu[ATTACH=CONFIG said:15148[/ATTACH]lu;1145221]
Waweza ona juhudi za Serikali katika kuokoa maisha ya watu wao waliokwama katika Mgodi tangu Agost 5, Natamani Serikali makini kam hii.
Sijui lini tutafikia kuwa na serikali makini kama hii. Hawa watu wametengeneza historia kwa mafanikio waliyofikia kwa kuwaokoa hawa watu. I could not sleep all the night long nikiangalia hili tukio live, it was really touching.
Ingekuwa huku kwetu, Rais angetangulia kupeleka maua kwenye machimbo kwa maana ya kwamba hao watu waachwe wafe tu kwani serikali haina hela za kuweza kuwaokoa.
Tiba
kuna wanahabari 1500 wamepiga kambi pale kutoka nchi 39 duniani....imagine...hii ni kwa mujibu wa CNN
halafu sasa unaambiwa kwa wale waliokuwa na mke, kisha nanyumba ndogo., wote wanaenda pale kuclaim their man....u can imagine unafikiria kutoka lakini juu hali ya hewa imechafuka ki ivyo
dah! Mzee umefikiria mbali. Inawezekana ikawa kweli
kwetu jamaa angesema yuko busy na kampeni,wawaache shimoni mpaka uchaguzi upite.
Ni North America ndio imesaidia kuleta mtambo! (capsule and a big crane!) jamani! wenyewe walisha chemsha walikuwa bado wanakuna vichwa! it is absolutely miracle! naona Mario Sepulveda ni wa pili na ndio anatoka sasa! Bless!!! What a cute wifey! !