Chile miners' rescue underway!!!!

ariel tikona alikuwa ni mtu wa 32 huyu jamaa mke wake alizaa ,siku chache baada ya yeye kufukiwa chini na kifusi
 
Nashuhudia miner wa mwisho Luis Urzua 54 - Foreman akiingia kwenye capsule, kimlango kinafungwa, engineer wanapiga makofi na kumpungia mikono tayari anavutwa sasa kuelekea juu. God is great!
 
huyu rais wao yuko hapa mwanzo mwisho na huyu jamaa ni billionea, atakuwa amepata umaarufu sana kutokana na huu uokoaji, sisi marais wetu mmm
 
Kingora kinapigwa Luis Urzua the last miner ndio ameshafika juu, makofi kibao na chereko chereko. Ametoka anakumbatiana na raisi, wanafamilia na miner wenzie. Anaongea kidogo na raisi na sasa wanaimba. Waliobaki sasa waokoaji kutolewa.
 
rais anatokwa na machozi jamaa wa mwisho anaongea naye anammshukuru sana, na Rais naye anashukuru watu wote
 
Back
Top Bottom