Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,307
Hapana hio sijaiona ngoja niisake
Isake tu,utacheka sana.
Hapana hio sijaiona ngoja niisake
Za kizungu zinachosha tu siku hizi
Umeona eeh?sijawahi kua interested nazo kabisa
Hapa siongelie zile historical kama Jumong, Yisan, Painter of the Wind, Tree with Deep Roots n.k., naongelea zile modern.
Kwa kweli nyingi nazoziona ni kama zinafanafana saana as well as ni predictable unaweza kujua ni nini kitatokea. Alafu zipo a bit childish, Plot zake unakuta mtu anafanya revenge kuumiza wale waliomuumiza ila eti na yeye anaumiza wale wa karibu yake na yeye kuumia mwenyewe (kitu ambacho kinaondoa dhana ya yeye ku-revenge in the first place)
Nyingi zina story nzuri overall lakini plot zake zinakuwa za kitoto na zina-defy logic. Sijui ni tatizo langu pekee au na wengine pia, nadhani wapo vizuri sana kwenye zile historical lakini kwenye modern series nadhani za western bado zipo juu as well as dialogue inasaidia kuzifanya ziwe bora, pia zipo more realistic.
Uwiiiiiii!Jamani wana nyimbo nzuri sijapata kuona,sijawahi kuona sound track mbaya kwenye movie zao hata moja!
Mie mwenzio hua nazitafuta nadawnload nakua nazo kabisa.
Kuna video moja vimechukuliwa vipande vya kwenye movie ya Heirs halafu imewekwa na nyimbo,ile video nzuri maana yale maneno ya nyimbo na ile video vinaendana.
Du nilidhani mimi npo peke yangu of course séries sa kikorea utoto mwingi sana. hasa za mapenzi séries km man called god star alikuwa anapewa mashavu km James bond yaan anawaambia nakuja polisi wanajikusanya km mia na still anafanya yake na anaindoka bila kukamatwa,hii kiuhalisia ilikuwa haimake sense
Umeshaambiwa A man called God
Ndomana akawa akamatiki ana uwezo wa kufanya chchte kile kwasabbu n God
Ielewe title hyo
Nyingi zimekaaa kidemu demu, na unaeza kuta series nzima ina watu 7 tu
Hahahaaaa bora umemuelewesha maana kuna watu hua hawaangalii title wanaangalia movie tu.
Binafsi hadi niangalie na kusoma maudhui ya movie ni nini kwanza.
Aiseee kidemu demu ndio nn nieleweshe
Imekaaa ki female zaid
Wanagusana gusana, wanayonyana midomo ,wanachkachka au?
Jiongeze
Kwani hivyo vitu kwenye movie za kizngu au series zao akuna?
Hatujadili movie za.kizungu, na hata mtoa mada hajazungua korean movie zote, jiongeze
Mleta Uzi ana tofauti na ww