Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,410
- 82,319
Dah mie ningekijua kikorea ingekuwa mzuka kweli.
Sasa kama hupendi historical series utajuaje?
Wale ndio wakorea wenyewe sasa
Dah mie ningekijua kikorea ingekuwa mzuka kweli.
Sasa kama hupendi historical series utajuaje?
Wale ndio wakorea wenyewe sasa
Hata mimi nimeshangaa!!Jumong ndio ilitufumbua macho wengi sana.
Hii movie ndio the best Korean movie of all time to me!
Hahahaaa yaani hilo panga ninavyolipenda?
Sijui nisemeje...
Sio uwoga..kuna moja inaitwa Great seer nataka niimalizie nayo mapanga ila tatizo mi na Jumong ni tofauti kabisa sijui kwanini.
Vp nyimbo zao mie nasikilizaga hadi nyimbo zao teh teh
Dah Mii nakumbuka ilonifungua macho kuanza kupenda Korean series ni winter sonata ndo ilikua the first Korean series kuonyeshwa Tanzania dah naipenda ile series sana halaf ikafata jewel in the palace and then jumong ila wengi walianza kuangalia na kuipenda jumong
aaa wapi! hujanishawishi
Wewe mjanja basi long time,wenzio tumeanzia jumong!
Dah we acha washaniloga hawa sasa hivi nawatch roof top prince nzuri mno juzi nmemalizia a gentleman's dignity
Mimi naangalia temptation of an angel,ngoja nitazitafuta hizo
Vp nyimbo zao mie nasikilizaga hadi nyimbo zao teh teh
Poa ni nzuri zitafute utacheka sana
Hahahaaa basi baki hivyohivyo.
Nitazitafuta best,tuwe tunapeana updates basi?....lol
Ulishacheki Myung Wol the spy?Ndio nimeimaliza nikaanza hii
Mi niliangalia episode moja nika realise is not what I like to watch. (Not my cup of tea) ..
..
Then I started to watch Vikings, Game of throwns, & The walking dead .
Kila mtu na mapendekezo yakeZa kizungu zinachosha tu siku hizi